RC MAKONDA ATANGAZA VITA NA WANAOPANDISHA BEI YA SUKARI, MSAKO MKALI KUANZA KESHO - Wor'Out Media

Wor'Out Media is a premier site for selected informative articles from Tanzania, East Africa and the rest of the world. We operate 24 hours a day, 365 days a year with complete context, perspective and precision.

Monday, May 4, 2020

demo-image

RC MAKONDA ATANGAZA VITA NA WANAOPANDISHA BEI YA SUKARI, MSAKO MKALI KUANZA KESHO

17b9d5d4-1bc8-41b9-a2a6-f81976619abe

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Paul Makonda leo ametangaza vita na Wafanyabiashara wanaouza Sukari kwa bei ghali tofauti na bei elekezi ya Serikali ambapo amesema ifikapo Kesho kikosi kazi kitafanya ukaguzi na watakaobainika kuuza bidhaa hiyo kwa bei ya juu Watakamatwa na Sukari kutaifishwa na Serikali.

RC Makonda amewaelekeza Wakuu wa Wilaya zote Tano za Mkoa huo kuhakikisha msako huo unaanza kesho na asisalie Mfanyabiashara yoyote anaeuza Sukari hiyo kwa Bei ya Juu.

WhatsApp+Image+2020-05-04+at+2.57.23+PM

Hatua hiyo imekuja baada ya RC Makonda kubaini uwepo wa baadhi ya wafanyabiashara wanaouza Sukari kwa bei ya hadi Tsh 4,500 kinyume na bei elekezi ya serikali ya Tsh 2,600 jambo linalopelekea maumivu na gharama kwa wananchi.

No comments:

Post a Comment

Sharing Buttons

Pages

Contact Form

Name

Email *

Message *