Monday, May 4, 2020

MCHUNGAJI PETER MITIMINGI AFARIKI DUNIA
Mchungaji Peter Mingi wa Kanisa la Ghala la Chakula (Warehouse Christian Centre-WCC) pia Mkurugenzi wa Voice of Hope Ministry (VHM) inayojihusisha na huduma ya injili vijijini amefariki dunia usiku wa Jumapili 3 Mei 2020.
Mchungaji Msaidizi wa kanisa hilo Samwel, amethibitisha.
Baada ya kulitumikia kanisa la TAG kwa miaka mingi kama mchungaji msaidizi na baadaye kuanzisha huduma ya injili vijijini - VHM, baadaye Mwalimu na Mchungaji Peter Mitimingi alianzisha kanisa lijulikano kwa jina la Ghala la chakula au kwa Kiingereza Warehouse Christian Centre - WCC jijini Dar es salaam.
Mchungaji Miti Mingi ambaye ni Mshauri wa Saikolojia wa BLCCC, alifahamika zaidi kwa mahubiri na mafundisho yake kuhusu mahusiano na maisha ya ndoa yaliyoenea zaidi kupitia Mitandao ya Kijamii.
“Yeye alikuwa anaumwa Sukari ilipanda, ikaanza homa ya mapafu kwasababu alikuwa Arusha akapigwa na mvua kukawa na baridi kali hiyo hali ikamsumbua na kupelekea kufariki" Mchungaji Samweli, Msaidizi wa Kanisa hilo.
Usikubali kupitwa na habari. Pakua App ya Wor Out Media HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako https://play.google.com/store/apps/details?id=com.wormedia&hl=en
Tags
# KITAIFA
Share This
About Hassani Makero
Hassani Makero is a Wor'Out Media Country Manager located at Unguja-Zanzibar, Tanzania performing all technical issues concerning of Media Broadcasting activities, Satellites, and FM and Television equipments supplier.
Aside from that, Hassani Makero is also a Writer, Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 10 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs.
Aside from all above he own and operate his Blog known as Wor’Out Media since 2014.
Newer Article
RC MAKONDA ATANGAZA VITA NA WANAOPANDISHA BEI YA SUKARI, MSAKO MKALI KUANZA KESHO
Older Article
Serikali ya Tanzania kutumia JWTZ kujenga kituo cha kuhudumia wagonjwa wa Corona 200
SERIKALI YATOA MWEZI MMOJA KWA WANAFUNZI WA KIDATO CHA NNE 2024 KUBADILISHA MACHAGUO YA TAHASUSI ZA KIDATO CHA TANO
Hassani MakeroApr 02, 2025WADAU WAOMBWA KUJITOKEZA KUDHAMINI TAMASHA LA KUOMBEA UCHAGUZI MKUU MWAKA HUU
Hassani MakeroApr 02, 2025Rais Samia ahutubia Baraza la Eid El Fitr Jijini Dar es Salaam
Hassani MakeroMar 31, 2025
Labels:
KITAIFA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment