Serikali ya Tanzania kutumia JWTZ kujenga kituo cha kuhudumia wagonjwa wa Corona 200 - Wor'Out Media

Wor'Out Media is a premier site for selected informative articles from Tanzania, East Africa and the rest of the world. We operate 24 hours a day, 365 days a year with complete context, perspective and precision.

Sunday, May 3, 2020

demo-image

Serikali ya Tanzania kutumia JWTZ kujenga kituo cha kuhudumia wagonjwa wa Corona 200

20200503061250_810939157_480_319_webp

Serikali ya Tanzania inatumia Sh7 bilioni kujenga kituo maalumu cha kuhudumia wagonjwa wa corona katika eneo la Kisopwa ambalo lipo kilometa moja kutoka hospitali ya Mloganzila.

Taarifa iliyotolewa na Wizara hiyo imeeleza kuwa kituo hicho ambacho kinajengwa upesi kitawekewa miundombinu ya kisasa kurahisisha utoaji wa huduma kwa wagonjwa wa virusi hivyo.

Pindi kitakapokamilika kituo hicho kitakuwa na uwezo wa kuhudumia wagonjwa 200 kwa pamoja.

Mradi huo unatekelezwa na Jeshi la kujenga Taifa kupitia kampuni yake ya Suma JKT na tayari askari 389 wamepelekwa eneo la mradi.

No comments:

Post a Comment

Sharing Buttons

Pages

Contact Form

Name

Email *

Message *