RAIS WA ZANZIBAR AZINDUA BOTI TATU ZA KUSAFIRISHA WAGONJWA ZANZIBAR - Wor'Out Media

Wor'Out Media is a premier site for selected informative articles from Tanzania, East Africa and the rest of the world. We operate 24 hours a day, 365 days a year with complete context, perspective and precision.

Breaking

Wednesday, February 19, 2025

RAIS WA ZANZIBAR AZINDUA BOTI TATU ZA KUSAFIRISHA WAGONJWA ZANZIBAR

MUONEKANO wa moja ya Boti 3 za Kusafirisha Wangonjwa “Ambulance Boat” zilizozinduliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, katika eneo la Hoteli ya Verde Mtoni Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya Uzinduzi wa Boti Tatu za Kusafirisha Wagonjwa “Ambulance Boat” uzinduzi huo uliyofanyika lkatika eneo la Hoteli ya Verde Mtoni Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikata utepe kuzindua Boti tatu za kusafirisha Wagonjwa “Ambulance Boat” uzindui huo uliyofanyika leo 19-2-2025, katika eneo la Hoteli ya Verde Mtoni Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar na (kulia kwa Rais) Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Nassor Ahmed Mazrui na Kaimu Mkurugenzi Benki ya Dunia Milena Stefanova na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said na (kushoto kwa Rais) Meneja wa Benki ya Dunia Kanda ya Mashariki na Kusini mwa Afrika Dkt. Ernest Massiah.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika moja ya Boti za Kusafirisha Wagonjwa “Ambulance Boat” baada ya kuzizindua leo 19-2-2025 katika eneo la Hotel ya Verde Mtoni Jijini Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

Sharing Buttons

Pages