YAS YADHAMINI TAMASHA LA MAASAI TOURISM CULTURE KUKUZA UTAMADUNI WA KITANZANIA - Wor'Out Media

Wor'Out Media is a premier site for selected informative articles from Tanzania, East Africa and the rest of the world. We operate 24 hours a day, 365 days a year with complete context, perspective and precision.

Breaking

Saturday, February 15, 2025

YAS YADHAMINI TAMASHA LA MAASAI TOURISM CULTURE KUKUZA UTAMADUNI WA KITANZANIA

Kaimu Mkurugenzi wa Mtandao wa simu wa Yas Tanzania Kanda ya Kaskazini, Daniel Mainoya, akimwelezea Mkurugenzi wa Maendeleo ya Utamaduni Tanzania Boniface Kadili, kutoka Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, kuhusu bidhaa na huduma za Yas wakati wa Maasai Tourism Cultural Festival inayofanyika katika Uwanja wa Magereza, Kisongo, Arusha. Yas inadhamini tamasha hilo kwa lengo la kukuza na kuhifadhi utamaduni wa Kitanzania.

No comments:

Post a Comment

Sharing Buttons

Pages