Mke wa Rais Mama Janeth
Magufuli akilakiwa na Dkt. Julius Mwaisalage Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya
Saratani ya Ocean Road jijini Dar es salaam alikoenda kusherehekea siku yake ya
kuzaliwa kwa kutoa misaada kwa wagonjwa waliolazwa katika hospitali hiyo ambako
ndiko alikozaliwa yeye.
Mke wa Rais Mama Janeth
Magufuli akisalimiana na mganga mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Dkt. Grace
Magembe wakati alipowasili kusherehekea siku yake ya kuzaliwa kwa kutoa misaada
kwa wagonjwa waliolazwa katika Taasisi ya Saratani ya Oceanm Road jijini Dar es
salaam.
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akisalimiana na Diwani wa Kata ya Kivukoni Mhe. Henry Sato
Massaba wakati alipowasili kusherehekea siku yake ya kuzaliwa
kwa kutoa misaada kwa wagonjwa waliolazwa katika Taasisi ya Saratani ya Ocean
Road jijini Dar es salaam
Mke wa Rais Mama Janeth
Magufuli akisalimiana na Katibu Tawala wa Wilaya ya Ilala Mhe. Edward
Mpogolo alipowasili kusherehekea siku yake ya kuzaliwa kwa kutoa misaada
kwa wagonjwa waliolazwa katika Taasisi ya Saratani
Oceanm Road jijini Dar es
salaam.
Sehemu ya wageni na
wafanyakazi wa Taasisi ya Saratani ya Ocean Road wakifuatilia hotuba zikitolewa
wakati wa hafla hiyo.

Sehemu ya wageni na wafanyakazi wa Taasisi ya Saratani ya Ocean Road
wakifuatilia hotuba zikitolewa wakati wa hafla hiyo
Sehemu ya wageni na
wafanyakazi wa Taasisi ya Saratani ya Ocean Road wakifuatilia hotuba zikitolewa
wakati wa hafla hiyo
Mke wa Rais Mama Janeth
Magufuli na meza kuu wakimsikiliza Dkt. Julius Mwaisalage Mkurugenzi Mkuu wa
Taasisi ya Saratani ya Ocean Road jijini Dar es salaam
Mkuu wa Wilaya ya Ilala
Mhe. Sophia Mjema akimkaribisha Mama Janeth Magufuli kuongea
Mkuu wa Wilaya ya Ilala
Mhe. Sophia Mjema akimkaribisha Mama Janeth Magufuli kuongea
Sehemu ya wageni na
wafanyakazi wa Taasisi ya Saratani ya Ocean Road wakishangilia hotuba
zikitolewa wakati wa hafla hiyo
Sehemu ya wageni na wafanyakazi
wa Taasisi ya Saratani ya Ocean Road wakishangilia hotuba zikitolewa wakati wa
hafla hiyo
Mke wa Rais Mama Janeth
Magufuli akikaribishwa kuongea na Mkuu wa Wilaya ya Ilala Mhe. Sophia Mjema
wakati wa kusherehekea siku yake ya kuzaliwa kwa kutoa misaada kwa
wagonjwa waliolazwa katika Taasisi ya Saratani ya Oceanm Road jijini Dar es
salaam.
Mke wa Rais Mama Janeth
Magufuli akiongea machache wakati wa kusherehekea siku yake ya kuzaliwa
kwa kutoa misaada kwa wagonjwa waliolazwa katika Taasisi ya Saratani ya Oceanm
Road jijini Dar es salaam.

Magufuli akimsikiliza Mkuu wa Wilaya Mhe Sophia Mjema akitoa maelezo mafupi ya
zawadi ambazo kinamama wa Wilaya za Temeke na Ilala wametoa kumuunga mkono Mama
magufuli wakati wa kusherehekea siku yake ya kuzaliwa kwa kutoa
misaada kwa wagonjwa waliolazwa katika Taasisi ya Saratani ya Oceanm Road
jijini Dar es salaam.
Mke wa Rais Mama Janeth
Magufuli akipokea toka kwa Mkuu wa Wilaya Mhe Sophia Mjema sehemu ya
zawadi ambazo kinamama wa Wilaya za Temeke na Ilala wametoa kumuunga
mkono Mama magufuli wakati wa kusherehekea siku yake ya kuzaliwa
kwa kutoa misaada kwa wagonjwa waliolazwa katika Taasisi ya Saratani ya Oceanm
Road jijini Dar es salaam.
Mke wa Rais Mama Janeth
Magufuli akipokea toka kwa Mkuu wa Wilaya Mhe Sophia Mjema sehemu ya
zawadi ambazo kinamama wa Wilaya za Temeke na Ilala wametoa kumuunga
mkono Mama magufuli wakati wa kusherehekea siku yake ya kuzaliwa
kwa kutoa misaada kwa wagonjwa waliolazwa katika Taasisi ya Saratani ya Oceanm
Road jijini Dar es salaam.
Mke wa Rais Mama Janeth
Magufuli akimkabidhi Mkurugenzi wa Taasisi ya Saratani ya Ocean Road Dkt.
Julius Mwaisalage zawadi alizopokea toka kwa Mkuu wa Wilaya Mhe Sophia Mjema kama
sehemu ya zawadi ambazo kinamama wa Wilaya za Temeke na Ilala wametoa kumuunga
mkono Mama magufuli wakati wa kusherehekea siku yake ya kuzaliwa kwa
kutoa misaada kwa wagonjwa waliolazwa katika Taasisi ya Saratani ya Oceanm Road
jijini Dar es salaam.
Mke wa Rais Mama Janeth
Magufuli akimkabidhi Mkurugenzi wa Taasisi ya Saratani ya Ocean Road Dkt.
Julius Mwaisalage misaada ambayo ametoa kusherehekea siku yake ya kuzaliwa kwa wagonjwa
waliolazwa katika Taasisi hiyo jijini Dar es salaam.
Mke wa Rais Mama Janeth
Magufuli akimkabidhi Mkurugenzi wa Taasisi ya Saratani ya Ocean Road Dkt.
Julius Mwaisalage misaada ambayo ametoa kusherehekea siku yake ya kuzaliwa kwa
wagonjwa waliolazwa katika Taasisi hiyo jijini Dar es salaam.
Mke wa Rais Mama Janeth
Magufuli akiwapa pole wagonjwa wakati wa kusherehekea siku yake ya kuzaliwa kwa
wagonjwa waliolazwa katika Taasisi hiyo jijini Dar es salaam.
Mke wa Rais Mama Janeth
Magufuli akimkabidhi zawadi kwa mmoja wa wagonjwa katika kusherehekea siku yake
ya kuzaliwa na wagonjwa waliolazwa katika Taasisi ya saratani ya Ocean Road
jijini Dar es salaam.
Mke wa Rais Mama Janeth
Magufuli akiomba dua na baadhi ya wagonjwa waliolazwa katika Taasisi ya
saratani ya Ocean Road jijini Dar es salaam.
Mke wa Rais Mama Janeth
Magufuli alipotembelea wodi za Taasisi ya Saratani ya Ocean Road
jijini Dar es salaam na kusherehekea siku yake ya kuzaliwa kwa kutoa
misaada kwa wagonjwa waliolazwa katika hospitali hiyo ambako ndiko alikozaliwa
yeye.
Mke wa Rais Mama Janeth
Magufuli akimkabidhi msaada mmoja wa wagonjwa waliolazwa katika Taasisi ya
saratani ya Ocean Road jijini Dar es salaam.
Mke wa Rais Mama Janeth
Magufuli akimkabidhi msaada mmoja wa wagonjwa waliolazwa katika Taasisi ya
saratani ya Ocean Road jijini Dar es salaam.
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akiomba dua na baadhi ya wagonjwa
waliolazwa katika Taasisi ya saratani ya Ocean Road jijini Dar es salaam.
Katibu
Tawala Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Theresia Mbando akimshukuru Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli kwa
kutembelea Taasisi ya Saratani ya Ocean Road jijini Dar es salaam na
kusherehekea siku yake ya kuzaliwa kwa kutoa misaada kwa wagonjwa waliolazwa
katika hospitali hiyo ambako ndiko alikozaliwa yeye.
Mke wa Rais Mama Janeth
Magufuli akipongezwa na Mkurugenzi wa
Manispaa ya Ilala kwa
kutembelea Taasisi ya Saratani ya Ocean Road jijini Dar es salaam na kusherehekea
siku yake ya kuzaliwa kwa kutoa misaada kwa wagonjwa waliolazwa katika
hospitali hiyo ambako ndiko alikozaliwa yeye.
Mke wa Rais Mama Janeth
Magufuli na meza kuu katika picha ya pamoja na uongozi wa Serikali za mitaa za
Kivukoni na Sea View Taasisi ya Saratani ya Ocean Road jijini Dar es
salaam na kusherehekea siku yake ya kuzaliwa kwa kutoa misaada kwa wagonjwa
waliolazwa katika hospitali hiyo ambako ndiko alikozaliwa yeye.

Magufuli na meza kuu katika picha na Skauti alipotembelea Taasisi ya
Saratani ya Ocean Road jijini Dar es salaam na kusherehekea siku yake ya
kuzaliwa kwa kutoa misaada kwa wagonjwa waliolazwa katika hospitali hiyo ambako
ndiko alikozaliwa yeye.
Mke wa Rais Mama Janeth
Magufuli akisalimia ndugu waliofika kuona wagonjwa alipotembelea Taasisi
ya Saratani ya Ocean Road jijini Dar es salaam na kusherehekea siku yake ya
kuzaliwa kwa kutoa misaada kwa wagonjwa waliolazwa katika hospitali hiyo ambako
ndiko alikozaliwa yeye.
Mke wa Rais Mama Janeth
Magufuli akisalimia ndugu waliofika kuona wagonjwa alipotembelea
Taasisi ya Saratani ya Ocean Road jijini Dar es salaam na kusherehekea
siku yake ya kuzaliwa kwa kutoa misaada kwa wagonjwa waliolazwa katika
hospitali hiyo ambako ndiko alikozaliwa yeye.
Mke wa Rais Mama Janeth
Magufuli akiagana na Dkt. Julius Mwaisalage Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya
Saratani ya Ocean Road jijini Dar es salaam baada ya kusherehekea siku yake ya
kuzaliwa kwa kutoa misaada kwa wagonjwa waliolazwa katika hospitali hiyo ambako
ndiko alikozaliwa yeye.
No comments:
Post a Comment