Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akipokea Taarifa ya zoezi la uhakiki wa
vyeti kwa Watumishi wa umma kutoka kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais
Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala bora Angela Kairuki katika Ukumbi wa
Chimwaga mjini Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akikata utepe katika vitabu hivyo vya taarifa ya zoezi la
uhakiki wa vyeti kwa watumishi wa umma alivyopokea kutoka kwa Waziri
wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala bora Angela
Kairuki katika Ukumbi wa Chimwaga mjini Dodoma. Katikati ni Makamu wa Rais
Samia Suluhu Hassan na wakwanza kushoto ni Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma
(UDOM) Profesa Idris Kikula.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitoa kitabu cha Taarifa ya zoezi la uhakiki wa vyeti kwa watumishi wa umma alivyopokea kutoka kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala bora Angela Kairuki katika Ukumbi wa Chimwaga mjini Dodoma. Katikati ni Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan na wakwanza kushoto ni Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) Profesa Idris Kikula.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akinyanyua juu Taarifa na vitabu vye majina 9,932 ya
watumishi wenye vyeti vya kugushi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akikata utepe na kufungua boksi kubwa lenye majina ya
watumishi zaidi ya 9,932 waliobainika kuwa na vyeti vya kugushi mara baada ya
kupokea Taarifa ya zoezi la uhakiki wa vyeti kwa watumishi wa umma
kutoka kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na
Utawala bora Angela Kairuki katika Ukumbi wa Chimwaga mjini Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akiangalia majina hayo pamoja na Makamu wa Rais Samia
Suluhu Hassan mara baada ya kufungua boksi kubwa lenye majina ya watumishi
hao wa umma ambao wamegushi vyeti vyao.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisoma jina mojawapo la mtumishi aliyegushi cheti katika taarifa hiyo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akiwa pamoja na Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan
wakiangalia vitabu vyenye majina ya watumishi wa Umma zaidi ya 9,932 waliogushi
vyeti vyao vya elimu ya Sekondari.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akiwa na Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan,
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa , Waziri wa Elimu Profesa Joyce Ndalichako, Spika
wa Bunge Job Ndugai, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa
Umma na Utawala bora Angela Kairuki wakiminya kitufe kuashiria maadhimisho ya
miaka 10 ya Chuo Kikuu cha Dodoma UDOM katika ukumbi wa Chimwaga mkoani Dodoma.

John Pombe Magufuli akihutubia viongozi mbalimbali, wanafunzi wa
UDOM, pamoja na watumishi wa Umma mara baada ya kupokea Taarifa ya zoezi la
uhakiki wa vyeti kwa watumishi wa umma kutoka kwa Waziri wa Nchi
Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala bora Angela Kairuki katika
Ukumbi wa Chimwaga mjini Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akiagana na watumishi mbalimbali wa umma, viongozi pamoja
wanafunzi wa UDOM mara baada ya kumaliza kuhutubia katika Ukumbi wa Chimwaga
mjini Dodoma.
Waziri
Mkuu Kassim Majaliwa, akihutubia katika Ukumbi wa
Chimwaga.
Baadhi
ya Makatibu wakuu pamoja na viongozi mbalimbali wa Serikali wakifatilia kwa
makini hotuba iliyokuwa ikitolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt. John Pombe Magufuli katika ukumbi wa Chimwaga mkoani Dodoma.
Baadhi
ya Makatibu wakuu pamoja na viongozi mbalimbali wa Serikali, wanafunzi pamoja
na walimu wa UDOM wakipiga makofi wakati wakimkaribisha Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli wakati akiwasili
katika ukumbi wa Chimwaga mkoani Dodoma.
Makamu
wa Rais Samia Suluhu Hassan akihutubia katika Ukumbi wa Chimwaga.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Taarifa ya
miaka 10 ya Chuo kikuu cha Dodoma UDOM katika ukumbi wa Chimwaga mkoani Dodoma.
No comments:
Post a Comment