WANAFUNZI WA DARASA LA TATU WA SHULE YA MSINGI YA AGA KHAN WATEMBELEA AIRTEL - Wor'Out Media

Wor'Out Media is a premier site for selected informative articles from Tanzania, East Africa and the rest of the world. We operate 24 hours a day, 365 days a year with complete context, perspective and precision.

Breaking

Friday, April 14, 2017

WANAFUNZI WA DARASA LA TATU WA SHULE YA MSINGI YA AGA KHAN WATEMBELEA AIRTEL



 Mkurugenzi wa Raslimali Watu wa Airtel Tanzania, Patrick Foya akizungumza na Wanafunzi wa Shule ya Msingi Aga Khan, waliofanya ziaraMya mafunzo katika makao makuu  ya Airtel eneo la Morocco, jijini Dar es Salaam.
 Afisa Huduma kwa Wateja wa Airtel Tanzania, Stephen Makongoro akifafanua jambo Wanafunzi wa Shule ya Msingi Aga Khan waliofanya ziara ya mafunzo katika makao makuu ya Airtel eneo la Morocco, jijini Dar es Salaam.
 Mkurugenzi wa Teknolojia ya Habari wa Airtel Tanzania, Franky Filman akizungumza na Wanafunzi wa Shule ya Msingi Aga Khan waliofanya ziara ya mafunzo katika makao makuu ya Airtel eneo la Morocco, jijini Dar es Salaam.

Wanafunzi wa Shule ya Msingi Aga Khan  wakiangalia bidhaa mbalimbali katika duka la kisasa la Airtel lilipo makao makuu ya Airtel eneo la Morocco, jijini Dar es Salaam.

Maafisa wa Airtel wakiwa katika picha ya pamoja na Walimu na Wanafunzi wa Shule ya Msingi Aga Khan waliofanya ziara ya mafunzo katika makao makuu ya Airtel eneo la Morocco, jijini Dar es Salaam

No comments:

Post a Comment

Sharing Buttons

Pages