Waziri
wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye Ulemavu) Mhe.
Jenista Mhagama akisalimiana na Mwenyekiti wa Shirikisho la Vyama vya Watu
Wenye Ulemavu Bi. Ummy Nderinanga wakati wa mkutano wao na Waziri huyo ili
kujadili utekelezaji wa majukumu uliofanyika Ukumbi wa mikutano wa ofisi hiyo Bungeni
Dodoma.
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye Ulemavu) Mhe.
Jenista Mhagama akiendesha mkutano na Viongozi wa Shirikisho la Vyama vya Watu
Wenye Ulemavu walipokutana ofisini kwake Dodoma kujadili utekelezaji wa
Majukumu yanayowahusu.
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye Ulemavu) Mhe.
Jenista Mhagama (katikati waliokaa) akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa
SHIVYAWATA mara baada ya kumaliza mkutano wao, kushoto kwake ni Naibu wake
(Kazi, Ajira na Vijana), Mhe. Antony Mavunde.
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye Ulemavu) Mhe.
Jenista Mhagama akizungumza jambo wakati wa mkutano wake na Viongozi wa
SHIVYAWATA kujadili utekelezaji wa majukumu yao katika Ukumbi wa Ofisi yake
Bungeni Dodoma Aprili 27, 2017.
Wajumbe
wa mkutano wa uongozi wa Shirikisho la Vyama vya Watu wenye Ulemavu nchini
wakifuatilia maelekezo kutoka kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera,
Bunge, Ajira na Watu wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama wakati wa kikao chao
Mjini Dodoma tarehe 27 Aprili, 2017.
No comments:
Post a Comment