Mandhari ya Bandari ya Tanga eneo la kuegesha meli kupakua na kupakia kama inavyoonekana.
Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) iko katika mchakato wa kujenga bandari mpya ya Mwambani ambayo itapunguza msongomano wa shehena ya makontena katika bandari ya zamani iliyopo pichani.
Bandari hii imekuwa na msongomano mkubwa wa meli na majahazi ambayo hushusha na kupakiza mizigo, hivyo Mamlaka kuadhimia kujenga bandari ya Mwambani .
No comments:
Post a Comment