TANZANIA YATILIANA SAINI NA MFUKO WA MAENDELEO KIUCHUMI WA KUWAIT - Wor'Out Media

Wor'Out Media is a premier site for selected informative articles from Tanzania, East Africa and the rest of the world. We operate 24 hours a day, 365 days a year with complete context, perspective and precision.

Breaking

Tuesday, March 21, 2017

TANZANIA YATILIANA SAINI NA MFUKO WA MAENDELEO KIUCHUMI WA KUWAIT



Waziri wa Fedha na Mipango , Dk. Philip Mpango akisaini mkataba wa mkopo kwa ajili ya ujenzi wa barabara ya Chahua hadi Chaya  kwa mkopo wa Dola Milioni 51 za kimarekani, katika shughuli iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Hazina, jijini Dar es salaam leo.




Naibu Mkurugenzi wa mfuko wa wa Kuwait , Hamad Al-Omar  akiabadilishana mkataba na Waziri wa Fedha na Mipango, Dk .Philip Mpango.



Baadhi ya wajumbe kutoka nchini Kuwait wakishuhudia tendo hilo la utiaji Sahihi



Viongozi wa ngazi za juukutoka Wizara ya Fedha na Mipango wakishuhudia kitendo hicho cha utiaji Sahini.


No comments:

Post a Comment

Sharing Buttons

Pages