Kwenye #KikaangoniEATV Msanii wa filamu maarufu Tanzania Jacqueline Wolper amefunguka juu ya mahusiano yake maarufu sana na msanii wa WCB Wasafi Harmonize.
Wolper aliulizwa kama anajutia kuwa na Harmonize baada ya kuachana naye
Wolper anasema Sio Kila kilichotokea kati yake ni Harmonize ni kibaya
No comments:
Post a Comment