Rapa Kendrick Lamar ndio
msanii namba moja kwenye chati ya wasanii ya Billboard kwa wiki tatu mfululizo.
Chati hii imeanza kutayarishwa miaka mitatu iliyopita na
inayotayarishwa kutokana na mauzo ya album, kuchezwa kwenye radio, mitandao ya
kijamii na mambo mengine.
Kwenye top 5 wako Gorillaz, Ed
Sheeran, Bruno Mars na Drake.

No comments:
Post a Comment