MVUA ZAHARIBU BARABARA YA CHOTE PONGWE TANGA - Wor'Out Media

Wor'Out Media is a premier site for selected informative articles from Tanzania, East Africa and the rest of the world. We operate 24 hours a day, 365 days a year with complete context, perspective and precision.

Breaking

Thursday, May 25, 2017

MVUA ZAHARIBU BARABARA YA CHOTE PONGWE TANGA

Mvua zinazoendelea zimekuwa kikwazo zaidi kwa usafiri maeneo mbalimbali ya nchi yetu.

Katika Mkoa wa Tanga, sehemu mbalimbali zimekuwa ngumu kupitika kutokana na mvua hizo. Moja sehemu ambazo mwandishi wetu ametembelea ni katika kijiji cha Chote kilichopo katika Kata ya Pongwe.




Wafasafirishaji wa mkaa kwa kutumia pikipiki maarufu kama bodaboda wakipita kwa shida katika barabara ya Chote Pongwe Tanga baada ya barabara hiyo kuathiriwa na mvua zinazoendelea kunyesha na kuwa kero.

No comments:

Post a Comment

Sharing Buttons

Pages