TANGA PRESS CLUB YAADHIMISHA SIKU YA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI KWA KUOA DAMU - Wor'Out Media

Wor'Out Media is a premier site for selected informative articles from Tanzania, East Africa and the rest of the world. We operate 24 hours a day, 365 days a year with complete context, perspective and precision.

Breaking

Sunday, May 7, 2017

TANGA PRESS CLUB YAADHIMISHA SIKU YA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI KWA KUOA DAMU

Daktari wa hospitali ya Rufaa ya Bombo Tanga  kitengo cha maabara, Stivin Mnyawoga, akimtoa damu Kamanda wa Polisi Tanga, Benedickti Wakulyamba wakati wa uchangia damu salama kwa hiari zoezi lililoratibiwa na Klabu ya Waandishi wa Habari Tanga (Tanga Press Club TPC) wakati wa maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari na kufanyika katika viwanja vya klabu hiy leo.
Daktari kitengo cha maabara hospitali ya Bombo Tanga, Hamis Juma Kayoga, akimtoa damu Sadik Shembilu wakati wa zoezi la uchangiaji damu salama liliratibiwa na Klabu ya Waandishi wa Tanga (TPC) ikiwa ni maadhimisho ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani leo. 



Daktari wa hospitali ya Bombo Tanga kitengo cha maabara, Steven Mnyawoga, akimtoa damu mwandishi wa Radio Nnuor ya Tanga wakati wa uchangia damu kwa hiari zoezi lililoratibiwa na Klabu ya Waandishi wa Habari wa Tanga (TPC) na kufanyika katika viwanja vya klabu hiyo leo.


Mwandishi Pamela akitoa damu wakati wakati wa maadhimisho ya siku ya Uhuru wa Vyombo Vya Habari inayoadhimishwa leo Duniani kote. Mwandishi huyo mbali ya kutoa chupa moja aliomba kutoa nyengine kutokana na kuwa na damu nyingi lakini alikataliwa na madaktari baada ya kupewa elimu ya utoaji damu kwa hiari.

No comments:

Post a Comment

Sharing Buttons

Pages