Uingereza wamesema huenda harufu ya
mmea wa Rosemary ikawa na uwezo wa kusaidia mtu kukumbuka mambo.
Mmea huo, ambao huwa
na maua ya rangi nyeupe, waridi, zambarau au samawati, sana hutumiwa kama
kiungo kwenye chakula, vinywaji au mchuzi.
Utafiti ulibaini
kwamba wanafunzi waliokuwa kwenye chumba kilichopulizwa harufu ya rosemary,
iliyokuwa kwenye mafuta, walikuwa na uwezo wa kukumbuka mambo kwa asilimia 5
hadi 7 zaidi kuliko wanafunzi ambao hawanusi harufu hiyo.
No comments:
Post a Comment