Korosho ni zao la
biashara lenye umaarufu mkubwa mikoa ya kusini mwa Tanzania.Imeelezwa kuwa
Tanga zao la korosho linaweza kuwakomboa wakulima badala ya kung'ang'ania
kilimo kimoja ambacho ni cha msimu.
Mkulima wa zao la
korosho shamba la Mkanyageni Wilayani Muheza Mkoani Tanga, Kurwa Joseph,
akiichukua miche katika kitalu chake na kwenda kuipanda. Wakulima hao huuza
Korosho kwa Bodi ya Korosho Tanzania kwa shilingi 1,800 kwa kilo.
No comments:
Post a Comment