Diwani wa Kata ya Pugu, Boniventure Mphuru akiwa na
Muanzilishi wa Mradi wa CLEAN WATER SANITATION AND HYGIENE ambaye pia ni Miss
Ubungo 2014, Diana Joachimu Kato wakiongozana na Wanafunzi wa shule ya Msingi
minazi mirefu, Ukonga Jijini Dar es salaam jana Juni 5, 2017 wakati wa zoezi la
kuadhimisha siku ya Mazingira Duniani, ambapo walifanya usafi katika eneo lote
la shule hiyo pamoja na kupanda miti.
Diwani wa Kata ya Pugu, Boniventure Mphuru akiwa na
Muanzilishi wa Mradi wa CLEAN WATER SANITATION AND HYGIENE ambaye pia ni Miss
Ubungo 2014, Diana Joachimu Kato wakijiandaa kupanda mti katika moja ya eneo la
shule ya Msingi minazi mirefu jana Juni 5, 2017.
Diwani wa Kata ya Pugu, Boniventure Mphuru akipanda
mti katika eneo la shule ya Msingi minazi mirefu jana Juni 5, 2017.
Muanzilishi wa Mradi wa CLEAN WATER SANITATION AND
HYGIENE ambaye pia ni Miss Ubungo 2014, Diana Joachimu Kato akipanda mti
shuleni hapo.
Muanzilishi wa Mradi wa CLEAN WATER SANITATION AND
HYGIENE ambaye pia ni Miss Ubungo 2014, Diana Joachimu Kato akiwa pamoja na
baadhi ya Wanafunzi wa shule ya Msingi minazi mirefu, Ukonga jijini Dar es
salaam baada ya kufanya usafi wa mazingika katika eneo la shule hiyo ikiwa ni
sehemu ya kuadhimisha Siku ya Mazingira Duniani.
Muanzilishi
wa Mradi wa CLEAN WATER SANITATION AND HYGIENE ambaye pia ni Miss Ubungo 2014,
Diana Joachimu Kato akifagia.
No comments:
Post a Comment