Wednesday, June 14, 2017

UEFA yaongeza tuzo 5 kwa wachezaji
Shirikisho la mpira wa miguu barani Ulaya (UEFA) limeongeza idadi ya
tuzo zitakazo tolewa kwa wachezaji bora wa mwaka ambao watapatikana kupitia
kura za makocha pamoja na waandishi wa habari za michezo.
Tuzo hizo ambazo idadi yake zitafikia tano zinatarajiwa kuanza kutolewa
Agosti 24 katika jiji la Monaco nchini Ufaransa, katika droo ya makundi ya ligi
ya mabingwa Ulaya.
Ujio wa tuzo hizi ni kwaajili ya wachezaji waliofanya vizuri katika
mashindano ya msimu uliopita mwaka 2016/17.
Tags
# MICHEZO
Share This
About Hassani Makero
Hassani Makero is a Wor'Out Media Country Manager located at Unguja-Zanzibar, Tanzania performing all technical issues concerning of Media Broadcasting activities, Satellites, and FM and Television equipments supplier.
Aside from that, Hassani Makero is also a Writer, Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 10 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs.
Aside from all above he own and operate his Blog known as Wor’Out Media since 2014.
MICHEZO
Labels:
MICHEZO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment