Wednesday, June 14, 2017

Kevin Durant, ameingia kwenye hii rekodi moja na Michael Jordan na Shaquille O’Neal
Timu ya Golden State Warriors wameshinda fainali
za NBA 2017 kwa vikapu 129-120 dhidi ya Cleveland
Cavaliers kwenye Game 5 katika uwanja wa Oracle Arena.
Kevin Durant, ametajwa kuwa MVP, nakuweka rekodi
ya kuwa mchezaji wa kwanza kutandika point 30 kwenye kila mechi ya fainal baada
ya Shaquille O’Neal
kufanya hivyo mwaka 2000.
Kevin Durant amekuwa mchezaji wa sita
kufunga zaidi ya point 30 kwenye mechi zote za fainal ya NBA kwenye msimu
mmoja, wachezaji wengine waliowahi kuwa na rekodi hio ni pamoja na Elgin Baylor ‘1962’, Rick Barry ‘1967’ , Michael Jordan ‘1993’,
Hakeem Olajuwon
‘1995’ na Shaquille
O’Neal ‘2000, 2002’.
Tags
# MICHEZO
Share This
About Hassani Makero
Hassani Makero is a Wor'Out Media Country Manager located at Unguja-Zanzibar, Tanzania performing all technical issues concerning of Media Broadcasting activities, Satellites, and FM and Television equipments supplier.
Aside from that, Hassani Makero is also a Writer, Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 10 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs.
Aside from all above he own and operate his Blog known as Wor’Out Media since 2014.
Newer Article
Mshindi wa Kampeni ya Akaunti ya Malengo ya NBC akabidhiwa gari lake
Older Article
UEFA yaongeza tuzo 5 kwa wachezaji
TAARIFA KUTOKA BODI YA LIGI KUU TANZANIA
Hassani MakeroMar 08, 2025WAKAZI WA DAR WAJITOKEZA KUCHUKUA NAMBA KUSHIRIKI MBIO ZA YAS KILI INTANATION HALF MARATHON
kilole mzeeFeb 15, 2025KOCHA WA YANGA APEWA MKONO WA KWAHERI
Hassani MakeroFeb 04, 2025
Labels:
MICHEZO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment