Mkurugenzi Mtendaji wa
Chama cha Waajiri Tanzania (ATE), Dk. Aggrey Mlimuka (kulia), akizungumza
wakati kongamano kuhusu changamoto zinazowakabili wafanyabiasha wa kichina na
suluhisho zake liliandaliwa na ATE na Shrikisho la Wafanyabiasha la China (CEC),
jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu wa
Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi nchini (TUCTA), Dk. Yahya Msigwa
(katikati), akizungumza na Mwenyekiti wa Chama cha Wafanyabiasha wa China
nchini Tanzania (CBCT), Janson Huang huku Mkurugenzi Mtendaji wa Chama cha
Waajiri Tanzania (ATE), Dk. Aggrey Mlimuka akiangalia wakati kongamano kuhusu
changamoto zinazowakabili wafanyabiasha wa kichina na suluhisho zake
liliandaliwa na ATE na Shrikisho la Wafanyabiasha la China (CEC), jijini Dar es
Salaam.
Bwana Lin
Zhiyong, Mkuu wa Biashara katika Ubalozi wa China nchini, akizungumza
washiriki waliohudhuria katika kongamano kuhusu changamoto zinazowakabili
wafanyabiasha wa kichina na suluhisho zake liliandaliwa na ATE na Shrikisho la
Wafanyabiasha la China (CEC), jijini Dar es Salaam.
Meneja Miradi
ya Shirikisho la Vyama vya Waajiri Nchini Norway (NHO) wa Chama Cha
Waajiri Tanzania (ATE), JoyceNangai-Ibengwe (kulia), akizungumza wakati wa
kongamano hilo.
Baadhi ya washiriki wa
kongamano hjilo wakifuatilia hotuba na elimu kuhusu masuala ya ajira na sheria
za jinsi ya kufanya biashara nchini.
Mjumbe wa Bodi ya ATE,
Kabeho Solo (kushoto), Bi. Tori Nettelhorst Tveit (kulia) kutoka Shirikisho la
Vyama vya Waajiri la Norway (NHO) NA Meneja wa Idara ya Sheria wa ATE, Suzanne
Ndomba (katikati), wakibadilishana mawasiliano wakati wa kondamano hilo.
Katibu Mkuu wa
Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi nchini (TUCTA), Dk. Yahya Msigwa (kushoto),
akimsiliza Ofisa Mawasiliano wa ATE, Yunge Peter (kulia) huku Mwenyekiti wa
Chama cha Wafanyabiasha wa China nchini Tanzania (CBCT), Janson Huang (wa pili
kushoto), na Celestine Leonard wa ATE wakisikiliza wakati wa kongamano hilo.
No comments:
Post a Comment