Thursday, October 12, 2017

Tanga Cement yasaidia ujenzi wa nyumba za polisi zilizoungua mkoani Arusha
Meneja Usambazaji wa
Kampuni
ya Saruji Tanga (TCPLC), Samuel Shoo, akikabidhi msaada sehemu ya mifuko
1000
ya saruji yenye thamani ya ya shs milioni 12,500,000 kwa Naibu Kamishna
wa polisi (DCP) wa Mkoa wa Arusha Charles Mkumbo (kushoto),
iliyotolewa kampuni
hiyo kusaidia ujenzi wa majengo ya nyumba za polisi zilizoungua moto
hivi
karibuni. Hafla ya makabidhiano ilifanyika katika eneo la Kituo Kikubwa
cha Polisi
Arusha jana. Wengine pichani ni maofisa wa kampuni ya Saruji na kutoka
katika
majeshi ya ulinzi na usalama.
Mkuu wa Idara ya Mauzo na
Masoko wa Kampuni ya Saruji Tanga (TCPLC), Peet
Brits, akikabidhi msaada sehemu ya mifuko 1000 ya saruji yenye thamani
ya ya shs milioni 12,500,000 kwa Naibu
Kamishna wa polisi (DCP) wa Mko wa
Arusha Charles Mkumbo (wa pili kushoto),
iliyotolewa kampuni hiyo kusaidia ujenzi wa majengo ya nyumba za polisi
zilizoungua moto hivi karibuni mkoani humo. Hafla ya makabidhiano ilifanyika katika eneo la Kituo kikubwa cha
Polisi Arusha jana. Wengine pichani ni maofisa wa Saruji Tanga na kutoka katika
majeshi ya ulinzi na usalama.
Mkuu Mauzo Kitaifa
wa Kampuni
ya Saruji Tanga (TCPLC), Leslie Masawe, akikabidhi msaada sehemu ya
mifuko 1000
ya saruji yenye thamani ya ya shs milioni 12,500,000 kwa Naibu Kamishna
wa polisi (DCP) wa Mko wa Arusha, Charles Mkumbo, iliyotolewa kampuni
hiyo
kusaidia ujenzi wa majengo ya nyumba za polisi zilizoungua moto tarehe
27septemba Mkoani humo. Hafla ya makabidhiano ilifanyika katika
eneo la Kituo Kikubwa cha Polisi Arusha jana. Wengine pichani ni maofisa
wa
Saruji Tanga na kutoka katika majeshi ya ulinzi na usalama.
Meneja Masoko Mkoa wa
Arusha wa Kampuni ya Saruji Tanga
(TCPLC), Christopher Mgonja, akikabidhi msaada sehemu ya mifuko 1000 ya saruji
yenye thamani ya ya shs milioni 12,500,000
kwa Naibu Kamishna wa polisi (DCP) wa Mko wa Arusha Charles Mkumbo
(kushoto), iliyotolewa kampuni hiyo kusaidia ujenzi wa majengo ya nyumba za
polisi zilizoungua moto tarehe
27septemba Mkoani humo. Hafla ya
makabidhiano ilifanyika katika eneo la Kituo Kikubwa cha Polisi Arusha jana.
Wengine pichani ni maofisa wa Saruji Tanga na kutoka katika majeshi ya ulinzi
na usalama.
Ofisa Masoko na
Mawasiliano
wa Kampuni ya Saruji Tanga (TCPLC), Hellen Maleko wa pili (kulia)
akikabidhi msaada sehemu ya
mifuko 1000 ya saruji yenye thamani ya ya shs milioni 12,500,000 kwa
Naibu Kamishna wa polisi (DCP) wa Mko wa Arusha Charles Mkumbo,
iliyotolewa kampuni hiyo
kusaidia ujenzi wa majengo ya nyumba za polisi zilizoungua moto tarehe
27septemba Mkoani humo. Hafla ya makabidhiano ilifanyika katika
eneo la Kituo Kikubwa cha Polisi Arusha jana. Wengine pichani ni maofisa
wa
Saruji Tanga na kutoka katika majeshi ya ulinzi na usalama.
Tags
# BIASHARA
Share This
About Hassani Makero
Hassani Makero is a Wor'Out Media Country Manager located at Unguja-Zanzibar, Tanzania performing all technical issues concerning of Media Broadcasting activities, Satellites, and FM and Television equipments supplier.
Aside from that, Hassani Makero is also a Writer, Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 10 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs.
Aside from all above he own and operate his Blog known as Wor’Out Media since 2014.
Newer Article
CRDB yachomoza kwa usalama duniani
Older Article
Barclays Legal and Compliance Dept staffs give helping hand to Mwanangu Montessoti centre
Taasisi za Ulinzi wa Mlaji zimetakiwa kushirikiana na FCC
Hassani MakeroMar 21, 2025Safari ya Mafanikio ya NHC na Miaka Minne ya Mafanikio ya Rais Dkt.Samia Suluhu Hassani
Hassani MakeroMar 20, 2025Absa Group Reports 10% Increase in 2024 Earnings after Material Second-Half Recovery
Hassani MakeroMar 11, 2025
Labels:
BIASHARA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment