Wednesday, October 4, 2017

Tanga Cement yazidi kujitolea kusaidia shughuli za kijamii
Meneja Usambazaji wa
Kampuni ya Saruji Tanga (TCPLC), Samuel Shoo, akikabidhi msaada sehemu ya
mifuko 500 ya saruji yenye thamani ya zaidi ya shs milioni 6 kwa Katibu
Tawala wa Wilaya ya Korogwe, Rehema Said (kulia), iliyotolewa kampuni hiyo
kusaidia ujenzi wa majengo ya Hospitali ya Majengo iliyomo wilayani humo. Hafla
ya makabidhiano ilifanyika katika eneo la kiwanda cha TCPLC, Pongwe, Tanga hivi
karibuni. Wengine pichani ni maofisa wa Saruji Tanga na kutoka Korogwe.
Meneja Ubora wa Kampuni ya
Saruji Tanga (TCPLC), Michael Ruzige (kushoto), akikabidhi msaada wa sehemu ya
mifuko 100 ya saruji kwa Ofisa Mtendaji wa Kata ya Mlalo, Catherine Freedom
iliyotolewa kampuni hiyo kusaidia ujenzi wa jengo la maabara ya Shule ya
Sekondari Ngazi iliyopo Mlalo wilayani Lushoto. Hafla ya makabidhiano
ilifanyika eneo la kiwanda cha TCPLC, Pongwe, Tanga hivi karibuni. Wengine ni
wafanyakazi wa Saruji na wa kutoka Mlalo.
Meneja Mawasiliano na
Mahusiano ya Nje wa kampuni ya Saruji Tanga, Bi. Mtanga Noor (kushoto),
akikabidhi msaada waa mifuko 500 ya saruji yenye thamani ya zaidi ya shs
milioni 6 kwa Mkurugenzi wa Halamashauri ya Mji wa Korogwe, Jumanne
Shauri ( (kulia), iliyotolewa kampuni hiyo kusaidia ujenzi wa majengo ya Hospitali
ya Majengo iliyomo wilayani humo. Hafla ya makabidhiano ilifanyika katika eneo
la kiwanda cha TCPLC, Pongwe, Tanga hivi karibuni. Wengine pichani ni maofisa
wa Saruji Tanga na kutoka Korogwe.
Mkurugenzi wa Halamashauri
ya Mji wa Korogwe, Jumanne Shauri (aliyevaa koti katikati), akizungumza na
akihojiwa na waandishi wa habari baada ya kupokea msaada wa mifuko 500 ya
saruji yenye thamani ya zaidi ya shs milioni 6 iliyotolewa na Kampuni ya Saruji
Tanga (TCPLC), kusaidia ujenzi wa majengo ya Hospitali ya Majengo iliyopo
wilayani humo. Hafla ya makabidhiano ilifanyika katika eneo la kiwanda cha
TCPLC, Pongwe, Tanga hivi karibuni. Kulia kwake ni Meneja Mawasiliano na
Mahusiano ya Nje wa kampuni hiyo, Bi. Mtanga Noor baadhi ya wafanyakazi na
wawakilishi kutoka Korogwe.
Mganga Mkuu wa Halmashauri
ya Mji wa Korogwe, Dk. Elizabeth Nyema (wa nne kulia), akizungumza na akihojiwa
na waandishi wa habari baada ya kupokea msaada wa mifuko 500 ya saruji
yenye thamani ya zaidi ya shs milioni 6 iliyotolewa na Kampuni ya Saruji Tanga
(TCPLC), kusaidia ujenzi wa majengo ya Hospitali ya Majengo iliyopo wilayani
humo. Hafla ya makabidhiano ilifanyika katika eneo la kiwanda cha TCPLC,
Pongwe, Tanga hivi karibuni.
Tags
# BIASHARA
Share This
About Hassani Makero
Hassani Makero is a Wor'Out Media Country Manager located at Unguja-Zanzibar, Tanzania performing all technical issues concerning of Media Broadcasting activities, Satellites, and FM and Television equipments supplier.
Aside from that, Hassani Makero is also a Writer, Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 10 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs.
Aside from all above he own and operate his Blog known as Wor’Out Media since 2014.
Newer Article
Zawadi za shs milioni 204 kushindaniwa Kampeni ya Akaunti ya Malengo ya NBC. Washindi sita kuondoka na Suzuki Carry ‘kirikuu’ mpya kila mmoja. 24 kushinda milioni moja moja.
Older Article
Schools with strange problems
ABSA YAZINDUA MKOPO MPYA WA MALI ZA KIBIASHARA,SERIKALI YAPONGEZA JITIHADA
Hassani MakeroApr 04, 2025AKIBA COMMERCIAL BANK PLC YAPELEKA TABASABU KITUO CHA KULELEA WATOTO CHAKUWAMA
kilole mzeeMar 28, 2025Taasisi za Ulinzi wa Mlaji zimetakiwa kushirikiana na FCC
Hassani MakeroMar 21, 2025
Labels:
BIASHARA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment