WAITARA ATIMIZA AHADI YAKE KWA KANISA LA RC UKONGA - Wor'Out Media

Wor'Out Media is a premier site for selected informative articles from Tanzania, East Africa and the rest of the world. We operate 24 hours a day, 365 days a year with complete context, perspective and precision.

Breaking

Sunday, December 17, 2017

WAITARA ATIMIZA AHADI YAKE KWA KANISA LA RC UKONGA


Mbunge wa jimbo la UKonga Mhe.Mwita Waitara  amesali misa ya kwanza katika Kanisa la RC Ukonga pamoja na kutoa hundi yenye thamani ya Shilingi Milioni 1 kwa ajili ya kutekeleza ahadi yake ya ujenzi wa Kanisa hilo jijini Dar es Salaam leo. Fedha alizotoa Waitara ni fedha za mfuko wa Jimbo kwa ajili ya kuchochea maendeleo ndani ya Jimbo pamoja na huduma za Jamii.

No comments:

Post a Comment

Sharing Buttons

Pages