Mshindi wa Kampeni ya Malengo ya NBC wa Dar aondoka na kirikuu yake - Wor'Out Media

Wor'Out Media is a premier site for selected informative articles from Tanzania, East Africa and the rest of the world. We operate 24 hours a day, 365 days a year with complete context, perspective and precision.

Breaking

Wednesday, March 7, 2018

Mshindi wa Kampeni ya Malengo ya NBC wa Dar aondoka na kirikuu yake

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa NBC, Theoblad Sabi (kushoto), akizungumza na waandishi wa habari kabla hajakabidhi zawadi ya gari aina ya Suzuki Carry ‘kirikuu’ yenye thamani za zaidia ya shs miliono 30 kwa mshindi wa kampeni ya Malengo ya NBC, Fatuma Saidi Ramadhani (kulia). Alisema moja na malengo la kapeni hiyo ni kuhamasisha wateja na wasio wateja kujiwekea akiba katika benki hiyo ili kutimiza malengo. 
Mshindi wa zawadi ya gari ya kampeni ya Malengo ya NBC, Fatuma Saidi Ramadhani akihojiwa na waandishi wa vyombo mbalimbali vya habari katika hafla hiyo.
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC, Theobald Sabi (kushoto), akikabidhi  kadi ya gari aina ya Suzuki Carry ‘kirikuu’  kwa Fatuma Saidi Ramadhani,  mmoja wa  washindi  sita wa kampeni ya  Malengo ya NBC jijini Dar es Salaam jana. Anayeangalia ni Mkurugemnzi wa Wateja Binafsi wa benki hiyo, Filbert Mponzi. Kampeni hiyo ilidumu wa muda wa miezi mitatu.
Mshindi wa zawadi ya gari ya kampeni yas Malengo ya NBC, Fatuma Saidi Ramadhani (katikati), akionyesha kadi ya gari lake baada ya kukabidhiwa na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa NBC, Theobald Sabi (kushoto).  Kulia ni Mkurugenzi wa Wateja Binafsi wa benki hiyo, Filbert Mponzi na baadhi ya familia ya mshindi huyo.  

No comments:

Post a Comment

Sharing Buttons

Pages