Mbunge
wa Jimbo la Ukonga,Mwita Waitara akiangalia maendeleo ya ujenzi wa daraja la
Kivule mzinga baada ya kuwasili maeneo hayo jana usiku.
Zoezi
la Unyonyaji maji yaliyotuama likiendelea
Mbunge
wa Jimbo la Ukonga,Mwita Waitara akizungumza na baadhi ya vibarua wanafanya
kazi ya ujenzi katika daraja hilo jana usiku.
No comments:
Post a Comment