NAIBU WAZIRI NDUGULILE AZINDUA BODI MPYA YA USHAURI WA HOSPITALI ZA WATU BINAFSI - Wor'Out Media

Wor'Out Media is a premier site for selected informative articles from Tanzania, East Africa and the rest of the world. We operate 24 hours a day, 365 days a year with complete context, perspective and precision.

Breaking

Tuesday, May 1, 2018

NAIBU WAZIRI NDUGULILE AZINDUA BODI MPYA YA USHAURI WA HOSPITALI ZA WATU BINAFSI

Pix%2B5%2BNaibu%2BWaziri%2Bakizindua%2Bmwongozo
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Dkt. Faustine Ndugulile  akizindua Mwongozo wa viwango vya Msingi kwa vituo vya kutolea huduma za Afya katika ukumbi wa LAPF jana Jijini Dodoma. Kushoto kwake ni Msajili wa Hospitali Binafsi Dkt. Pamela Sawa.
Pix%2B1%2BNaibu%2BWaziri%2Bakizindua%2Bkanuni%2Bza%2BPHAB
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Dkt. Faustine Ndugulile akizindua kanuni za sheria ya uongozi wa hospitali za watu binafsi katika ukumbi wa LAPF leo Jijini Dodoma. Kushoto ni Kaimu Katibu Mkuu Wizara hiyo Dk Otilia Gowele na Kulia ni Msajili wa Hospitali Binafsi Dkt. Pamela Sawa.
Pix%2B2%2BBodi%2BMpya
Naibu Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Dkt. Faustine Ndugulile akizindua Mwongozo wa viwango vya Msingi kwa vituo vya kutolea huduma za Afya katika ukumbi wa LAPF jana Jijini Dodoma. Kushoto ni Kaimu Katibu Mkuu Wizara hiyo Dk Otilia Gowele na Kulia ni Msajili wa Hospitali Binafsi Dkt. Pamela Sawa.
Pix%2B3%2Bcheti%2Bcha%2Bshukrani
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Mhe.Dkt.Faustine Ndugulile akimkabidhi cheti cha shukrani kwa aliyekuwa mjumbe wa Bodi ya Ushauri wa Hospitali za watu  binafsi Dkt.Mohamed Ally Mohamed katika ukumbi wa LAPF jana Jijini Dodoma.
Pix%2B4%2BNaibu%2BWaziri%2Bakiwa%2Bna%2BBodi%2Bmpya
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mhe. Dkt. Faustine Ndugulile akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa bodi mpya ya ushauri wa hospitali za watu binafsi mara baada ya kuizindua jana katika ukumbi wa LAPF jana Jijini Dodoma. Picha zote na Daudi Manongi.

No comments:

Post a Comment

Sharing Buttons

Pages