RAIS DKT. MAGUFULI ASALI MISA YA ALHAMISI KUU KATIKA KANISA KATOLIKI LA MTAKATIFU PETRO PAROKIA YA OYSTERBAY JIJINI DAR - Wor'Out Media

Wor'Out Media is a premier site for selected informative articles from Tanzania, East Africa and the rest of the world. We operate 24 hours a day, 365 days a year with complete context, perspective and precision.

Breaking

Friday, April 19, 2019

RAIS DKT. MAGUFULI ASALI MISA YA ALHAMISI KUU KATIKA KANISA KATOLIKI LA MTAKATIFU PETRO PAROKIA YA OYSTERBAY JIJINI DAR



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na Waumini wengine wa Kanisa Katoliki akishiriki Misa Takatifu ya Alhamisi Kuu katika kanisa la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay jijini Dar es Salaam.



Waumini wa Kanisa Katoliki la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay wakiwa katika Misa Takatifu ya Alhamisi Kuu kanisani hapo jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

Sharing Buttons

Pages