MASHINDANO YA PROPHET SUGUYE CUP YAFIKA PAZURI - Wor'Out Media

Wor'Out Media is a premier site for selected informative articles from Tanzania, East Africa and the rest of the world. We operate 24 hours a day, 365 days a year with complete context, perspective and precision.

Breaking

Saturday, June 15, 2019

MASHINDANO YA PROPHET SUGUYE CUP YAFIKA PAZURI


Beki na Nahodha wa Kampota FC, Sajo Orden (mwenyejezi ya bluu), akijaribu kumtoka Mshambuliaji wa Texas FC, Abdallah Shabani  wakati wa mchezo wa  Ligi ya Prophet  Suguye Cup inayoendelea katika Viwanja vya Shule ya Msingi Misitu Kivule nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam ambapo timu ya Kampota ilishinda 2-0. Mchezo huo umepigwa leo viwanjani hapo.
Mlinda mlango  wa Texas FC, James Mlina akijaribu kuokoa shambulizi dhidi ya mchezo wao na Kampota FC, wakati wa mchezo wa  Ligi ya Prophet Suguye  Cup inayoendelea katika Viwanja vya Shule ya Msingi Misitu Kivule, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam ambapo Kampota ilishinda 2-0. Mchezo huo umepigwa leo viwanjani hapo.
Mshambuliaji wa Kampota FC Hassan Fantom, akijaribu kumtoka mchezaji wa Texas FC, wakati wa mchezo wa Ligi ya Prophet Suguye Cup inayoendelea katika Viwanja vya Shule ya Msingi Misitu Kivule nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam ambapo Kampota ilishinda 2-0. Mchezo huo umepigwa leo viwanjani hapo.
Mshambuliaji wa Kampota FC, Juma Mziga akijaribu kuwatoka mabeki  wa Texas FC, wakati wa mchezo wa Ligi ya Prophet Suguye Cup inayoendelea katika Viwanja vya Shule ya Msingi Misitu Kivule nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam ambapo Kampota ilishinda 2-0. Mchezo huo umepigwa leo viwanjani hapo.
Mshambuliaji wa Kampota FC, Hassani Fantom, akijaribu kumtoka mchezaji wa Texas FC, wakati wa mchezo wa Ligi ya Prophet Suguye Cup inayoendelea katika Viwanja vya Shule ya Msingi Misitu Kivule nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam ambapo Kampota ilishinda 2-0. Mchezo huo umepigwa leo viwanjani hapo.

No comments:

Post a Comment

Sharing Buttons

Pages