LIGI YA PROPHET SUGUYE YAFIKIA HATUA YA ROBO FAINALI UKIPIGWA NJE - Wor'Out Media

Wor'Out Media is a premier site for selected informative articles from Tanzania, East Africa and the rest of the world. We operate 24 hours a day, 365 days a year with complete context, perspective and precision.

Breaking

Friday, July 12, 2019

LIGI YA PROPHET SUGUYE YAFIKIA HATUA YA ROBO FAINALI UKIPIGWA NJE


Beki wa machimbo FC Ekson Kavali, (katikati), akijaribu kumtoka Mshambuliaji wa Magereza FC, Frank William (kushoto), wakati wa mchezo wa ligi ya Prophet Suguye Cup inayoendelea katika viwanja vya shule ya Msingi Misitu Kivule, ambapo katika mchezo huo Magereza iliibuka na ushindi wa 1-0 mchezo huo umepigwa leo viwanjani hapo.

Mlinda mlango wa Machimbo FC, Dotto Doto,  akikamata mpira wakati wamchezo wao dhidi ya Magereza FC katika mchezo wa ligi ya Prophet Suguye Cup inayoendelea katika viwanja vya shule ya Msingi Misitu Kivule, ambapo mchezo huo umemalizaka  Magereza ikiibuka na ushindi wa 1-0 mchezo huo umepigwa leo viwanjani hapo.

Wachezaji wa timu hizo wakiwania mpira wakati wa mchezo wa ligi ya Prophet Suguye Cup inayoendelea katika viwanja vya shule ya Msingi Misitu Kivule ambapo katika mchezo huo Magereza iliibuka na ushindi wa 1-0 mchezo huo umepigwa leo viwanjani hapo.

Wachezaji wa Magereza FC wakishangilia baada yakupata goli lao la kwanza amabalo ndio lilikuwa la ushindi katika mchezo huo.

No comments:

Post a Comment

Sharing Buttons

Pages