MKUTANO MKUU WA 13 WA KOROSHO KUFANYIKA NOVEMBA 7-9 MWAKA HUU DAR - Wor'Out Media

Wor'Out Media is a premier site for selected informative articles from Tanzania, East Africa and the rest of the world. We operate 24 hours a day, 365 days a year with complete context, perspective and precision.

Breaking

Monday, July 29, 2019

MKUTANO MKUU WA 13 WA KOROSHO KUFANYIKA NOVEMBA 7-9 MWAKA HUU DAR

Mkurugenzi Mkuu Shirikisho la wadau wa Korosho Afrika, Dk. Ernest Mintah, akizungumza na Waandishi wa Habari (hawapo pichani) wakati akitangaza kufanyika kwa Mkutano Mkuu wa 13 wa Mwaka wa Korosho unaotarajiwa kufanyika Novemba 7-9 mwaka huu jijini Dar es Salaam. Wengine kutoka kushoto ni Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Korosho Tanzania, Francis Alfred pamoja na Mkurugenzi wa Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea katika Wizara ya Kilimo, Dk. Steven Ngairo aliyemwakilisha Waziri wake.
Mkurugenzi wa Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea katika Wizara ya Kilimo, Dk. Steven Ngairo (katikati), akizungumza na Waandishi wa Habari (hawapo pichani) wakati akitangaza kufanyika kwa Mkutano Mkuu wa 13 wa Mwaka wa Korosho unaotarajiwa kufanyika Novemba 7-9 mwaka huu jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Korosho Tanzania, Francis Alfred na kulia ni Mkurugenzi Mkuu Shirikisho la Wadau wa Korosho Afrika, Dk. Ernest Mintah. Hafla hiyo imefanyika hivi karibuni jijini Dar es Salaam.
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Korosho Tanzania, Francis Alfred (kushoto), akizungumza na Waandishi wa Habari wakati akitangaza kufanyika kwa Mkutano Mkuu wa 13 wa Mwaka wa Korosho unaotarajiwa kufanyika kuanzia Novemba 7-9 mwaka huu jijini Dar es Salaam. Wengine pichani (katikati), ni Mkurugenzi wa Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea, Dk. Steven Ngairo, aliyemwakilisha Waziri wa Kilimo pamoja na Mkurugenzi Mkuu Shirikisho la Wadau wa Korosho Afrika, Dk. Ernest Mintah.

No comments:

Post a Comment

Sharing Buttons

Pages