Naibu waziri Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Dk.
Mary Mwanjelwa (wa tatu kulia) akipokea msaada wa mifuko 600 ya saruji kutoka
kwa Meneja wa Benki ya NBC Kanda ya Kusini, Salema Kileo (wa pili kushoto),
pamoja na baadhi ya wafanyakazi wenzake, iliyotolewa na NBC kwa ajili ua ujenzi
wa miundombinu ya afya na elimu katika Jiji la Mbeya. Hafla ya makabidhiano
ilifanyika jijini Mbeya jana.
Naibu Waziri Ofisi ya Rais MenejimentI ya Utumishi wa Umma na
Utawala Bora, Dk. Mary Mwanjelwa (katikati), akizungumza wakati akipokea msaada
wa mifuko 600 ya saruji kutoka kwa Meneja wa Benki ya NBC Kanda ya Kusini,
Salema Kileo (wa pili kushoto), wakati wa halfa ya makabidhiano msaada huo, uliotolewa
na benki ya NBC kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu ya afya na elimu katika Jiji
la Mbeya. Hafla hiyo ilifanyika jijini humo jana.
Naibu Waziri Ofisi ya Rais Menenjimenti ya Utumishi wa Umma na
Utawala Bora, Dk. Mary Mwanjelwa akizungumza wakati wa kupokea msaada wa mifuko
600 ya saruji kutoka Benki ya NBC kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu ya afya na
elimu katika Jiji la Mbeya. Hafla hiyo ilifanyika Mbeya jana. Kulia ni Meneja
wa NBC Kanda ya Kusini, Salema Kileo na kushoto ni Meya wa Jiji la Mbeya,
Mchungaji David Mwashikindi.
Meya wa Jiji la Mbeya, Mchungaji David Mwashilindi akizugumza
wakati wa hafla ya kupokea msaada wa mifuko 600 ya saruji kutoka Benki ya NBC
kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu ya afya na elimu jijini humo. Katikati ni
Naibu waziri Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Dk.
Mary Mwanjelwa na kulia ni Meneja wa NBC Kanda ya Kusini, Salema Kileo.
Meneja wa Benki ya NBC Kanda ya Kusini, Salema Kileo
akizungumza kabla ya kukabidhi msaada wa mifuko 600 ya saruji kwa Naibu
Waziri Ofisi ya Rais Menenjimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Dk Mary
Mwanjelwa (kulia kwake), iliyotolewa na benki hiyo kwa ajili ya ujenzi wa
miundombinu ya afya na elimu jijini Mbeya.
Naibu waziri Ofisi ya Rais Menenjimenti ya Utumishi wa Umma na
Utawala Bora, Dk. Mary Mwanjelwa (katikati), Meya wa Jiji la Mbeya, Mchungaji
David Mwashilindi (kushoto kwa naibu waziri), wakipozi kwa picha ya kumbukumbu
mara baada ya hafla hiyo jijini Mbeya jana.
No comments:
Post a Comment