Meneja Uendeshaji wa Benki ya NBC Tawi la Morogoro, Joceline Msuya (wa tatu kushoto) akizungumza wakati akikabidhi msaada wa madawa na vifaa tiba vyenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 9 kusaidia hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Morogoro pamoja na nyingine zenye uhitaji vilivyotolewa na NBC ikiwa ni sehemu ya shughuli za kuisaidia jamii za benki hiyo zinazoendelea kufanyika sehemu mbalimbali nchini. Makabidhiano hayo yalifanyika Hospitalini hapo Mkoani Morogoro jana. Kushoto kwake ni Kaimu Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Morogoro, Dk. Francis Semwene. Madawa hayo yamenunuliwa kutoka Bohari Kuu la Madawa Nchini (MSD).
Meneja Uendeshaji wa Benki ya NBC Tawi la Morogoro, Joceline Msuya (wa tatu kulia), akishikana mikono na Kaimu Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Morogoro, Dk. Francis Semwene wakati akimkabidhi msaada wa Madawa yenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 9 kusaidia hospitali hiyo na nyingine zenye uhitaji vilivyotolewa na NBC ikiwa ni sehemu ya shughuli za kuisaidia jamii za benki hiyo zinazoendelea kufanyika sehemu mbalimbali nchini. Makabidhiano hayo yalifanyika Hospitalini hapo Mkoani Morogoro jana. Madawa hayo yamenunuliwa kutoka Bohari Kuu la Madawa Nchini (MSD).
Meneja Uendeshaji wa Benki ya NBC Tawi Morogoro, Joceline Msuya (wa nne kushoto), akimkabidhi Kaimu Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Morogoro, Dk. Francis Semwene msaada wa madawa na vifaa tiba vyenye thamani zaidi ya shilingi Milioni 9 kusaidia hospitali hiyo pamoja na nyingine zenye uhitaji vilivyotolewa na NBC ikiwa ni sehemu ya shughuli za kuisaidia jamii za benki hiyo zinazoendelea kufanyika sehemu mbalimbali nchini. Makabidhiano hayo yalifanyika hospitalini hapo, Morogoro jana. Madawa hayo yamenunuliwa kutoka Bohari Kuu la Madawa Nchini (MSD).
Meneja Mahusiano wa Benki ya NBC Tawi la Morogoro, Grace Kapesa (wa nne kushoto), akimkabidhi Kaimu Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Morogoro, Dk. Francis Semwene msaada wa madawa na vifaa tiba vyenye thamani ya zaidi ya shilingi Milioni 9 kusaidia hospitali hiyo pamoja na nyingine zenye uhitaji vilivyotolewa na NBC ikiwa ni sehemu ya shughuli za kuisaidia jamii za benki hiyo zinazoendelea kufanyika sehemu mbalimbali nchini. Madawa hayo yamenunuliwa kutoka Bohari Kuu la Madawa Nchini (MSD).
No comments:
Post a Comment