Sunday, June 28, 2020

Mke wa Babu Tale kuzikwa Morogoro
MKE wa Mmoja wa mameneja wa WCB, Hamis Shaban Taletale maarufu kama ‘babutale’ ajulikanaye kwa jina la Shammy amefariki dunia Alfajiri ya leo na anatarajia kuzikwa Mkoani Morogoro.
Akitoa taarifa ya msiba, mmoja wa mwanafamilia ya Babu Tale, aliyekuwa msanii wa BongoFleva na sasa anaimba Kaswida, Suma Lee amesema msiba huo utakuwa Mikocheni jijini Dar es Salaam na mazishi yatafanyika mkoani Morogoro.
“Innalillah wainnailayhi Raajiuun, Bi Shamsa Bint Kombo amefariki Dunia na msiba upo Mikocheni na kuzika tutazika Morogoro,” alisema Suma Lee.
Tags
# BURUDANI
Share This
About Hassani Makero
Hassani Makero is a Wor'Out Media Country Manager located at Unguja-Zanzibar, Tanzania performing all technical issues concerning of Media Broadcasting activities, Satellites, and FM and Television equipments supplier.
Aside from that, Hassani Makero is also a Writer, Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 10 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs.
Aside from all above he own and operate his Blog known as Wor’Out Media since 2014.
Newer Article
Malawi swears in new president Lazarus Chakwera
Older Article
African, global telecom giants bid to enter Ethiopia market
RAIS MWINYI: ASANTENI WASANII WOTE KWA KUNIUNGA MKONO
Hassani MakeroJan 24, 2025Light Upon Light Summit in Zanzibar Set to Inspire and Unite Global Muslim Community12th & 13th October 2024.
kilole mzeeSept 30, 2024BENDI ZA MUZIKI WA DANSI KUWASHA MOTO TAMASHA LA USIKU WA WAFIA DANSI JIJINI DAR ES SALAAM
Hassani MakeroMay 12, 2022
Labels:
BURUDANI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment