Banda la TWCC lawa KIVUTIO kwa watu wanaofika kwenye maonyesho ya SABASABA - Wor'Out Media

Wor'Out Media is a premier site for selected informative articles from Tanzania, East Africa and the rest of the world. We operate 24 hours a day, 365 days a year with complete context, perspective and precision.

Breaking

Monday, July 6, 2020

Banda la TWCC lawa KIVUTIO kwa watu wanaofika kwenye maonyesho ya SABASABA

Banda la Chama cha Wafanyabiashara Wanawake Tanzania TWCC likiwa katika muonekao wa kuvutia na kupenda kwa watu mbalimbali wanaofika kwenye maonyesho ya Biashara ya 44 maarufu Sabasaba.
Watu mbalimbali wakiingia na kutoka ndani ya  Banda la Chama cha Wafanyabiashara Wanawake Tanzania TWCC kwenye maonyesho ya Biashara ya 44 maarufu Sabasaba.
Kaimu Mkurugenzi Mtengaji wa TWCC Mwajuma Hamza mwenye nguo ya ‘draft’ wapili kushoto akijadiliana jambo na baadhi wa wanachama wa chama hicho kwenye maonyesho ya biashara ya 44 ya Sabasaba, kushoto kwake ni Mkurugenzi wa Roses Wine Adelina Mwampamba.

Mjasiliamali na Kaimu Mkurugenzi wa Roses Wine Adelina Mwampamba akifurahia muonekano wa majani ya  Rosela kwenye maonyesho ya Sabasaba Dar es Salaam, kulia kwake ni Mkurugenzi wa TWCC Mwajuma Hamza na  wanachama wengine wa chama hicho.
Mjasilimali wa Korosho Tatu Matango mwenye nguo nyeusi akitoa maelezo namna ya uandaaji na ufungashaji wa bidhaa hiyo kwa watu mbalimbali waliotembelea Banda la TWCC kwenye maonyesho ya biashara ya 44 ya Sabasaba.
Mjasilimali wa Korosho Tatu Matango mwenye nguo nyeusi akikabidhi bidhaa hiyo kwa mnunuzi  aliefika kwenye Banda la TWCC kwenye maonyesho ya biashara ya 44 ya Sabasaba



No comments:

Post a Comment

Sharing Buttons

Pages