MWENYEKITI WA CCM WILAYA YA UBUNGO LUCAS MGONJA AFANYA UZINDUZI WA MATAWI UBUNGO KISIWANI - Wor'Out Media

Wor'Out Media is a premier site for selected informative articles from Tanzania, East Africa and the rest of the world. We operate 24 hours a day, 365 days a year with complete context, perspective and precision.

Breaking

Monday, July 6, 2020

MWENYEKITI WA CCM WILAYA YA UBUNGO LUCAS MGONJA AFANYA UZINDUZI WA MATAWI UBUNGO KISIWANI


Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Ubungo  CDE Lucas Mgonja akizungumza na wananchi na wanachama wa CCM Ubungo kisiwani wakati alipoalikwa kuwa mgeni rasmi kwenye Mkutano Mkuu wa Tawi UVCCM, Ubungo Kisiwani ambapo mkutano huo uliambatana na Uzinduzi wa matawi matano.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Ubungo  CDE Lucas Mgonja akipandisha pendera kuadhiria uzinduzi rasmi wa Tawi la chama hicho shina namba kumi linalosimamiwa na mjumbe Tabu Selemani, lililopo Ubungo Darajani wakati alipoalikwa kuwa mgeni rasmi kwenye Mkutano Mkuu wa Tawi UVCCM, Ubungo Kisiwani.
Mwenyekiti wa vijana wa CCM Ubungo Kisiwani, Mendrady Beda better akizungumza wakati wa Uzinduzi wa shina namba 10 baada ya uzinduzi wa matawi kulifanyika Mkutano Mkuu wa Tawi UVCCM, Ubungo Kisiwani ambapo katika mkutano huo mgeni rasmi alikuwa Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Wilaya ya Ubungo CDE Lucas Mgonja.
Mlezi wa chama vijana wa CCM shina namba kumi Ubungo Kisiwani Robert Wageni akizungumza wakati wa uzinduzi wa tawi hilo.
Katibu wa vijana wa CCM Ubungo Kisiwani, Joram Chuma, akizungumza wakati wa Mkutano Mkuu wa Tawi UVCCM, Ubungo Kisiwani  ambapo katika mkutano huo mgeni rasmi alikuwa Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Wilaya ya Ubungo CDE Lucas Mgonja.
Mjumbe wa shina namba 10 Tabu Selemani akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi wa Tawi namba kumi lililopo kwenye mtaa wake wakati wa Mkutano Mkuu wa Tawi UVCCM, Ubungo Kisiwani ambapo katika mkutano huo mgeni rasmi alikuwa Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Wilaya ya Ubungo CDE Lucas Mgonja.
Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Ubungo Kisiwani Kupitia Chama cha CCM Jolvin Ndimbo akizungumza na wanachama wa wakati wa Uzinduzi wa Matawi ulioambatana na Mkutano Mkuu wa Tawi UVCCM, Ubungo Kisiwani ambapo katika mkutano huo mgeni rasmi alikuwa Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Wilaya ya Ubungo CDE Lucas Mgonja.

Baadhi ya wanachama, Viongozi wa ngazi za mashina  na Vijana wa hamasa wakiserebuka wakati wa mkutano huo. (Picha zote na Brian Peter)





Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Wilaya ya Ubungo CDE Lucas Mgonja akigawa kadi za chama kwa wanachama wapya wa CCM
 Wanachama wapya wakila kiapo



 Mkutano ukiendelea





No comments:

Post a Comment

Sharing Buttons

Pages