Thursday, July 9, 2020

MATUKIO MBALIMBALI KATIKA BANDA LA TRA KWENYE MAONESHO YA SABASABA JIJINI DAR
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Dkt.Suleiman Missango akifafanua jambo kwa baadhi ya watumishi wa Mamlaka hiyo wakati alipotembelea Banda la TRA kwenye Maonesho ya 44 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (SabaSaba).
Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Huduma na Elimu kwa Mlipakodi kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) akifafanua jambo wakati Naibu Kamishna Mkuu wa Mamlaka hiyo Bw. Msafiri Mbibo (wa pili kulia) alipotembelea Banda la TRA kwenye Maonesho ya 44 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (SabaSaba).
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Dkt. Suleiman Missango akizungumza na baadhi ya watumishi wa Mamlaka hiyo wakati alipotembelea Banda la TRA kwenye Maonesho ya 44 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (SabaSaba).
Afisa Msimamizi wa Kodi Mwandamizi kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bi. Levina Shirima akimhudumia mteja wakati wa Maonesho ya 44 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (SabaSaba).
Afisa Msimamizi wa Kodi kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Godfrey Kumwembe akimhudumia mteja wakati wa Maonesho ya 44 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (SabaSaba).
Afisa Msimamizi wa Kodi kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Martine Malima akiwahudumia wateja wakati wa Maonesho ya 44 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (SabaSaba).
Mwanafunzi wa Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM) Bw. Yusuph Aslam akiwaelezea wateja kuhusu umuhimu wa Vilabu vya Kodi katika Shule za Sekondari na Vyuo ya Elimu ya Juu wakati wa Maonesho ya 44 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (SabaSaba).
Afisa Takwimu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Laban Masunga akimuelezea Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya TRA Dkt. Suleiman Missango (katikati) kuhusu takwimu za makusanyo tangu mwaka 2015 hadi 2020 wakati Mwenyekiti huyo alipotembelea Banda la TRA kwenye Maonesho ya 44 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (SabaSaba).
Tags
# BIASHARA
Share This
About Hassani Makero
Hassani Makero is a Wor'Out Media Country Manager located at Unguja-Zanzibar, Tanzania performing all technical issues concerning of Media Broadcasting activities, Satellites, and FM and Television equipments supplier.
Aside from that, Hassani Makero is also a Writer, Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 10 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs.
Aside from all above he own and operate his Blog known as Wor’Out Media since 2014.
Newer Article
Vodacom yatoa punguzo la bei ya simu janja za Smart Kitochi maonesho ya 44 ya biashara ya kimataifa ya sabasaba
Older Article
TAHA KUWAFUNDISHA WAJASILIAMALI WAO NJIA BORA ZA USINDIKAJI
Absa Group Reports 10% Increase in 2024 Earnings after Material Second-Half Recovery
Hassani MakeroMar 11, 2025Benki ya NBC Yaandaa Hafla ya Futari Zanzibar, Yajivunia Ongezeko la Wateja
Hassani MakeroMar 07, 2025BITEKO AKUTANA NA MTENDAJI MKUU WA RASHAL ENERGIES, INAYOJENGA BOMBA LA GESI KISEMVULE-MBAGALA
Hassani MakeroMar 07, 2025
Labels:
BIASHARA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment