Vodacom yatoa punguzo la bei ya simu janja za Smart Kitochi maonesho ya 44 ya biashara ya kimataifa ya sabasaba - Wor'Out Media

Wor'Out Media is a premier site for selected informative articles from Tanzania, East Africa and the rest of the world. We operate 24 hours a day, 365 days a year with complete context, perspective and precision.

Breaking

Thursday, July 9, 2020

Vodacom yatoa punguzo la bei ya simu janja za Smart Kitochi maonesho ya 44 ya biashara ya kimataifa ya sabasaba

Meneja wa maduka ya Rejareja Vodacom Tanzania PlC, Vanessa Mlawi (kulia) akizungumza na waandishi wa habari waliotembelea banda la Vodacom kwenye maonesho ya 44  ya biashara ya kimataifa ya sabasaba kuhusu punguzo la bei kwa simu za Smart Kitochi zinazopatikana kwa shilingi 45,000/- na bidhaa mbalimbali zinazopatikana bandani hapo.
2
Meneja Ruzuku na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania Foundation, Sandra Oswald (wa pili kushoto) pamoja na Msaidizi wa Mipango Vodacom Tanzania Foundation, Kelvin Boya wakiwaelezea wateja kuhusu huduma ya Instant School walipotembelea banda la Vodacom kwenye maonesho ya 44  ya biashara ya kimataifa ya sabasaba.
3
Mtoa huduma kwa wateja Vodacom, Oliver Nyasa (kulia) akimsikiliza mteja aliyetembelea banda la Vodacom kwenye maonesho ya 44  ya biashara ya kimataifa ya sabasaba.
4
Mtoa huduma kwa wateja Vodacom, Faraja Mwaseke (kulia) akiwasikiliza wateja waliotembelea banda la Vodacom kwenye maonesho ya 44  ya biashara ya kimataifa ya sabasaba.

No comments:

Post a Comment

Sharing Buttons

Pages