Tigo na Tecno wazindua Tecno Spark 5 saba saba - Wor'Out Media

Wor'Out Media is a premier site for selected informative articles from Tanzania, East Africa and the rest of the world. We operate 24 hours a day, 365 days a year with complete context, perspective and precision.

Breaking

Thursday, July 9, 2020

Tigo na Tecno wazindua Tecno Spark 5 saba saba

Meneja Bidhaa za Intaneti-Tigo Mkumbo Myonga akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa simu Mpya ya TecnoSpark5 ambapo Mteja atanunua kwa bei ya laki 333,000 na kupata ofa za kifurushi cha GB 78 kwa mwaka mzima, kushoto kwake ni Meneja mawasiliano kutoka kampuni ya Tecno Erick Mkomoye mapema leo katika viwanja vya maonesho ya SabaSaba.
Press3
Meneja mawasiliano kutoka kampuni ya Tecno Erick Mkomoye akifafanua jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa zinduzi wa simu Mpya ya TecnoSpark5 ambapo Mteja atanunua kwa bei ya laki 333,000 na kupata ofa za kifurushi cha GB 78 kwa mwaka mzima. 
Press5
Meneja mawasiliano kutoka kampuni ya Tecno Erick Mkomoye akifafanua jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa simu Mpya ya TecnoSpark5 ambapo Mteja atanunua kwa bei ya laki 333,000 na kupatau ofa za kifurushi cha GB 78 kwa mwaka mzima. 
Press8
Mwandishi wa habari wa TVE Ellen Manyangu akipokea Zawadi ya Simu Kutoka kwa Meneja mawasiliano kutoka kampuni ya Tecno Erick Mkomoye mara baada ya uzinduzi wa uzinduzi wa simu Mpya ya TecnoSpark5 ambapo Mteja atanunua kwa bei ya laki 333,000 na kupata ofa za kifurushi cha GB 78 kwa mwaka mzima. Anayeshuhudia ni Meneja Bidhaa za Intaneti-Tigo Mkumbo Myonga. 
Press9
Waandishi wakifurahia Zawadi zao kutoka Tigo mara baada ya uzinduzi wa uzinduzi wa simu Mpya ya TecnoSpark5 ambapo Mteja atanunua kwa bei ya laki 333,000 na kupata ofa za kifurushi cha GB 78 kwa mwaka mzima. 

Kampuni ya mawasiliano ya tigo imewataka wananchi kutumia nafasi ya uwepo wa maonesho ya kibiashara ya 44 ya Dare salaamu sabasaba kwa ajili ya kufanya manunuzi ya vifaa vya mawasiliano vyenye ubora kufuatia maonesho hayo kuhusisha kampuni za mawasilianobza simu ambazoZinaleta vifaa vyenye ubora

Akizungumza jijini Dare salaamu Meneja wa bidhaa za intaneti kutoka tigo mkumba myonga amesema katika maonesho hayo wameingia makubaliano na baadhi ya kampuni za uuzaji vifaa vya simu ambazo zina sifa na ubora kwa matumizi ya watanzania.
Press10
Kwa upande wake Meneja mawasiliano kutoka kampuni ya Tecno Erick mkomoye ameeleza kuwa hivi Sasa Watanzania wanahitaji teknolojia za Hali ya juu kwenye simu zao wanazotumia ili kuendeleza uchumi wa Kati uliofikiwa na kuifanya endelevu na kwa kutambua hilo wameamua kuja na simu aina ya Tecno spark 5 yenye thamani sawa na mahitaji ya watumishi.

No comments:

Post a Comment

Sharing Buttons

Pages