Akizungumza wakati wa hafla fupi iliyowakutanisha baina ya viongozi wa Yas na Mixx by Yas, na baadhi ya Mawakala na Mawakala Wa kuu Yas iliyofanyika usiku wa kuamkia Leo March Moshi 2025 jijini dar es salaam Afisa mkuu wa Mixx by Yas Angelika Pesha, amesema wao kama Mixx by Yas wanaanmini ili kufika mbali wanaihitaji kuwa na wadau ikiwemo Mawakala na Mawakala wakuu.
Pesha amesema kuwa wao wameamua kukukutana na wadau wao kwa namba Moja au nyingine ilikubadirishana mawazo lakini ni Imani yake kuwa siku zote wanaamini kuwa sherehekea kidogo kwa kila kinachopatikana hiyo ni njia sahihi kufanikiwa.
aidha Pesha Amesema kuwahuu ni mwaka WA 15 kufanya tukio la namna hiyo ambapo mwanzoni waalianza na mawakala wapatao 2300 mwaka 2010, ambapo lengo kubwa ni kuwa na Mawakala wengi Zaidi na kuwafikia wateja wengi zaidi Nchini kwani Yas ni mtandao ulioenea nchi nzima.
Vilevile Bi Pesha amechukua fursa hiyo kujipongeza kwani hadi sasa Yas Tanzania ina Mawakala Zaidi ya 200000 nchi nzima ambapo amesema kama itakumbukwa Yas imefanya uwekezaji mkubwa hivyo Moja ya Malengo yao ni kuwafikia wateja wengi kwenye miji mikubwa nchini,lakini pia kujitanua Zaidi kidigitali
katika hatua nyingine Peshaa hakuacha kufanya kuwa lengo jingine ni kuendelea kuwapa uwezo and Mawakala wao kwani kama unavyojua kwa sasa watanzania wengi wamekuwa wakifanya miamala hivyo kupitia mifumuo Yao ya kidigitali itasidia kutoa huduma Bora Zaidi na ndio maana wamekuwa wakiwekezaa kwenye Teknolojia ambapo kwa sasa wamefikia kwenye Teknolojia ya 4 na 5G kwenye maeneo mengi hapa nchini lakini pia mikakati Yao ni kuvuka mipaka ya TanzaniaKampuni ya Yas ambayo mwishoni mwa mwaka Jana ilibadili chapa yake Kutoka TIGO Tanzania ambapo sasa inajulikana kama YAS, imekuwa ikifanya vizuri sokoni na kujizolea Tuzo mbalimbali ikiwemo ile ya OOKLA ambayo umenifanya kampuni hiyo kuwa kinara barani Afrika ukilinganiaha na kampuni nyingine za mtandao hapa nchini, na Afrika kwa ujumla.
Aidha Yas ndio mtandao unaoongoza Nchini kwa kuwa umeenda Nchini nzima mijini na vijijini,huku ikiwa imewekeza kiasi kikubwa cha fedha na mitaji katika miundombini na teknolojia hususani ile ya kimkakati ambapo sasa inakuja na mfumo mpya 5G, na kwenye miji mikubwa nchini na kwengineko
No comments:
Post a Comment