Rais Magufuli abadili Uteuzi wa Mkuu wa Mkoa wa Njombe - Wor'Out Media

Wor'Out Media is a premier site for selected informative articles from Tanzania, East Africa and the rest of the world. We operate 24 hours a day, 365 days a year with complete context, perspective and precision.

Breaking

Sunday, July 19, 2020

Rais Magufuli abadili Uteuzi wa Mkuu wa Mkoa wa Njombe


Rais John Magufuli amefanya mabadiliko ya uteuzi alioufanya Julai 17, 2020 ambapo amemteua Mhandisi Marwa Rubirya kuwa Mkuu wa Mkoa wa Njombe.

Kabla ya uteuzi huo, Mhandisi Rubirya alikuwa Meneja wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) katika Mkoa wa Mwanza.

Mhandisi Rubirya ameteuliwa baada ya Jumanne Fhika ambaye atabaki Ofisi ya Rais kuendelea na majukumu yake.

Uteuzi wa Rubirya umeanza leo Julai 19, 2020 na anatakiwa kuwepo Ikuku ya Chamwino, Dodoma kesho saa nne asubuhi.


No comments:

Post a Comment

Sharing Buttons

Pages