MAJALIWA AVUNJA MAKUNDI CCM BABATI - Wor'Out Media

Wor'Out Media is a premier site for selected informative articles from Tanzania, East Africa and the rest of the world. We operate 24 hours a day, 365 days a year with complete context, perspective and precision.

Breaking

Tuesday, September 1, 2020

MAJALIWA AVUNJA MAKUNDI CCM BABATI

Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa na Mgombea Ubunge wa Jimbo la Babati Mjini Pauline Gekul (katikati) na Esther Mahawe (kushoto) wakati alipowaasa wana CCM wote waliotiania ya kugombea ubunge wa Jimbo hilo waondoe tofauti zao na wamuunge mkono mgombea aliyeteuliwa na CCM. Alikuwa akizindua Kampeni za CCM katika Mkoa wa Manyara kwenye uwanja wa Kwaraa mjini Babati, Septemba 1, 2020.
Mgombea ubunge wa Jimbo la Babati Mjini, Pauline Gekul akikumbatiana na  Esther Mahawe, mmoja wa wanaCCM waliotia nia ya kuomba uteuzi wa Chama wa kuwania ubunge katika Jimbo hilo katika mkutano wa uzinduzi wa Kampeni za CCM mkoani Manyara kwenye uwanja wa Kwaraa mjini Babati, Septemba 1, 2020.

No comments:

Post a Comment

Sharing Buttons

Pages