AKIBA COMMERCIAL BENKI YA DHAMINI VICOBADAY 2020 - Wor'Out Media

Wor'Out Media is a premier site for selected informative articles from Tanzania, East Africa and the rest of the world. We operate 24 hours a day, 365 days a year with complete context, perspective and precision.

Breaking

Tuesday, December 8, 2020

AKIBA COMMERCIAL BENKI YA DHAMINI VICOBADAY 2020

Meneja Masoko wa Benki ya Akiba Commercial Bank plc (ACB) Innocent Ishengoma akizungumza na wanavicoba pamoja na wateja wa Benki hiyo wakati wa maadhimisho wa siku ya Vicoba day 2020 iliyodhaminiwa na Benki ya ACB, yenye lengo la la kuwainua wanavicoba na wafanya biashara ndogondogo waweze kufikia malengo yao kupitia Benki hiyo. hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa PTA sabasaba jiji Dar es Salaam leo katika hafla hiyo mgeni rasmi alikuwa ni Katibu wa Baraza la Uwezeshaji wa Kiuchumi Bi Beng`i Issa.
Meneja Mahusiano wa Benki ya Akiba Commercial Bank plc (ACB) Judith Kipingu akimfungullia akaunti mteja mpya wa Benki hiyo Joyce Charles wakati wa hafla ya wakati wa maadhimisho wa siku ya Vicoba day 2020 iliyodhaminiwa na Benki ya ACB, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa PTA sabasaba jiji Dar es Salaam leo katika hafla hiyo mgeni rasmi alikuwa ni Katibu wa Baraza la Uwezeshaji wa Kiuchumi Bi Beng`i Issa, kulia ni Afisa Mauzo wa ACB, Elizabeth Masolwa.
Baadhi ya wanavicoba na wateja wa Benki Akiba wakiwa katika hafla ya Vicoba day
Meneja Mahusiano wa Benki ya Akiba Commercial Bank plc (ACB) Judith Kipingu akimkabidhi zawadi ya tisheti Mteja wa kwanza alikwenda kufungua akaunti katika ya Benki hiyo Joyce Charles wakati wa hafla ya wakati wa maadhimisho wa siku ya Vicoba day 2020 iliyodhaminiwa na Benki ya ACB, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa PTA sabasaba jiji Dar es Salaam leo katika hafla hiyo mgeni rasmi alikuwa ni Katibu wa Baraza la Uwezeshaji wa Kiuchumi Bi Beng`i Issa.

No comments:

Post a Comment

Sharing Buttons

Pages