Kamishna wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania (TIRA) Dkt. Mussa Juma akitoa maeleza ya utendaji kazi wao na kumkaribisha Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Jamal Kassim Ali kutoa hutuba yake alipofika kutembelea mamlaka hiyo Ofisini kwao Kilimani Mjini Zanzibar.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Jamal Kassim Ali akizungumza na watendaji wakuu wa Mamlaka ya usimamizi wa Bima Tanzania (TIRA) Ofisi ya Zanzibar iliyopo Kilimani na kuwashauri kuanzisha mfumo wa kislamu katika kutoa huduma zao.
Katibu msaidizi Tume ya Pamoja ya Fedha Zanzibar Wadi Haji Ali akisoma ripoti ya utendaji wa tume hiyo kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Jamal Kassim Ali alipotembelea Ofisini kwao Jengo la ZSTC Kinazini Mjini Zanzibar. (Picha na Makame Mshenga)
No comments:
Post a Comment