RAIS WA ZANZIBAR AMEKUTANA NA MUIGIZAJI WA FILAMU ZA KIHINDI - Wor'Out Media

Wor'Out Media is a premier site for selected informative articles from Tanzania, East Africa and the rest of the world. We operate 24 hours a day, 365 days a year with complete context, perspective and precision.

Tuesday, November 9, 2021

demo-image

RAIS WA ZANZIBAR AMEKUTANA NA MUIGIZAJI WA FILAMU ZA KIHINDI

.com/img/a/
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi ya Kasha Mgeni wake Muigizaji Maarufu wa Filamu za Kihindi Sanjay Dutt (kushoto) alipofika Ikulu Jijini Zanzinar leo akiwa na ujumbe wake.[Picha na Ikulu] 09/11/2021.
.com/img/a/
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akiwa katika mpicha na mgeni wake Muigizaji Maarufu wa Filamu za Kihindi Sanjay Dutt baada ya mazungumzo yao alipofika Ikulu Jijini Zanzinar leo akiwa na ujumbe aliofuatana nao.[Picha na Ikulu] 09/11/2021.
.com/img/a/
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akimsikiliza mgeni wake Muigizaji Maarufu wa Filamu za Kihindi Sanjay Dutt (kushoto) akisisitiza jambo wakati wa marungumzo yao yaliyofanyika leo alipofika Ikulu Jijini Zanzinar akiwa na ujumbe wake.[Picha na Ikulu] 09/11/2021.
.com/img/a/
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Muigizaji Maarufu wa Filamu za Kihindi Sanjay Dutt (kushoto) alipofika Ikulu Jijini Zanzinar leo akiwa na ujumbe wake.
.com/img/a/
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Muigizaji Maarufu wa Filamu za Kihindi Sanjay Dutt (kushoto) alipofika Ikulu Jijini Zanzinar leo akiwa na ujumbe wake.

No comments:

Post a Comment

Sharing Buttons

Pages

Contact Form

Name

Email *

Message *