Tuesday, November 9, 2021

DPP MPYA AFIKA PEMBA KUJITAMBULISHA
MWENDESHA Mashataka wa Serikali Pemba Asiya Ibrahim Mohammed, akimvisha koja Mkurugenzi wa Mashataka Zanzibar Salma Ali Hassan, mara baada ya kuwasili katika ofisi ya Mkurugenzi wa mashtaka Pemba, kwa ajili ya kujitambulisha kwa wafanyakazi wa ofisi hiyo ikiwa ni mara ya kwanza toka kuteuliwa.
JAJI wa Mahakama Kuu Zanzibar Muumini Khamis Kombo, akizungumza katika mkutano wa kumtambulisha mkurugenzi mpya wa Mashtaka Zanzibar na kumkabidhi ofisi na wafanyakazi upande wa Pemba, hafla iliyofanyika katika ofisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka Madungu Chake Chake.
JAJI wa Mahakama Kuu Zanzibar Muumini Khamis Kombo, akimkabidhi Muongozo wa Uwendeshaji wa Mashataka Zanzibar wa 2015 kwa Mkurugenzi wa Mashtaka Zanzibar Salma Ali Hassan, ikiwa ni makabidhiano ya ofisi yake mpya uapnde wa Pemba, hafla iliyofanyika katika ofisi ya Mkurugenzi wa Mashataka Madungu Chake Chake.
MKURUGENZI wa Mashataka Zanzibar Salma Ali Hassan, akizungumza na watendaji wa Ofisi yake Pemba wakati wa mkutano wa kujitambulisha kwake na kukabidhiwa vitendea kazi, hafla iliyofanyika katika ofisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka Madungu Chake Chake.
MWENDESHA Mashtaka ofisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka Pemba Asiya Ibrahim akitoa neno la shukurani kwa mkurugenzi mpya wa Mashtaka Zanzibar mara baada ya kumalizika kwa kikao cha kujitambulisha kwake kwa wafanyakazi wa ofisi ya Pemba.
WAFANYAKAZI wa Ofisi ya Mkurugenzi wa Mashataka Pemba, wakiwa katika mkutano na mkurugenzi wao mpya wa Ofisi ya Mkurugenzi wa mashtaka Zanzibar, aliopofika kujitambulisha kwa watendaji wa ofisi yake Pemba. (PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
Tags
# KITAIFA
Share This
About Hassani Makero
Hassani Makero is a Wor'Out Media Country Manager located at Unguja-Zanzibar, Tanzania performing all technical issues concerning of Media Broadcasting activities, Satellites, and FM and Television equipments supplier.
Aside from that, Hassani Makero is also a Writer, Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 10 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs.
Aside from all above he own and operate his Blog known as Wor’Out Media since 2014.
Newer Article
BENKI YA DUNIA YARIDHISHWA NA MAANDALIZI YA UTEKELEZAJI WA MRADI WA TANZANIA YA KIDIGITALI
Older Article
RAIS WA ZANZIBAR AMEKUTANA NA MUIGIZAJI WA FILAMU ZA KIHINDI
WAZIRI MKUU AWEKA JIWE LA MSINGI MRADI WA MAJI MAKOREMO-MGONGORO
Hassani MakeroMar 12, 2025"Stori za Afya za Wanawake wa Tanzania zina thamani kwetu", Absa Bank
Hassani MakeroMar 12, 2025HALMASHAURI KUU YA CCM YAPENDEKEZA MAREKEBISHO YA KANUNI ZA UTEUZI WA WAGOMBEA UONGOZI
Hassani MakeroMar 11, 2025
Labels:
KITAIFA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment