Wananchi Wakimbilia Huduma Za NHIF Katika Maonesho Ya Wiki Ya Huduma Za Kifedha, Jijini Dar - Wor'Out Media

Wor'Out Media is a premier site for selected informative articles from Tanzania, East Africa and the rest of the world. We operate 24 hours a day, 365 days a year with complete context, perspective and precision.

Wednesday, November 10, 2021

demo-image

Wananchi Wakimbilia Huduma Za NHIF Katika Maonesho Ya Wiki Ya Huduma Za Kifedha, Jijini Dar

.com/img/a/
Afisa Udhibiti Ubora wa NHIF Dk.Peter Nyakubenga akionesha wateja aina ya vifurushi vya Bima ya Afya vinavyotolewa na NHIF kwenye maonesho ya Wiki ya Huduma za Kifedha yanayoendelea katika viwanja vya Mnazi Mmoja Jijini Dar es Salaam.
.com/img/a/
Sheikh Issa Ponda akipata maelezo na huduma zinazotolewa na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) kutoka Afisa Udhibiti Ubora wa Mfuko huo Dk.Peter Nyakubenga wakati sheikh Ponda alipotembelea banda la NHIF katika wiki ya maonesho huduma za Kifedha yanayoendelea katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijoni Dar es Salaam.
.com/img/a/
.com/img/a/
Sheikh Issa Ponda akisaini kitabu cha wageni wakati alipotembelea Banda la NHIF kwenye maonesho ya Wiki ya Huduma za Kifedha yanayoendelea katika Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
.com/img/a/
Afisa Masoko Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) Luhende Singu akimpa maelezo mwananchi aliyetembelea banda la NHIF katika Maonesho ya Wiki ya Huduma za Kifedha yanayoendelea viwanja vya Mnazi Mmoja Jijini Dar es Salaam.
.com/img/a/
Afisa Masoko Mkuu wa NHIF Luhende Singu akizungumza na mteja kuhusiana na huduma za vifurushi vya bima na namna ya matibabu yanayopatikana ni katika hospItali zote za binafsi na serikali.

No comments:

Post a Comment

Sharing Buttons

Pages

Contact Form

Name

Email *

Message *