Tuesday, November 9, 2021

Prof. Mbennah Awasilisha Hati Za Utambulisho Nchini Mauritius
Balozi wa Tanzania nchini Mauritius mwenye makazi yake Harare, Zimbabwe, Mhe. Prof. Emmanuel Mbennah akingia Ikulu ya Port Louis kwa ajili ya kuwasilisha Hati za Utambulisho.
Balozi wa Tanzania nchini Mauritius mwenye makazi yake Harare, Zimbabwe, Mhe. Prof. Emmanuel Mbennah akisalimiana na Rais wa Mauritius, Mhe. Prithvirajsing Roopun kwenye Ikulu ya Port Louis kabla ya kuwasilisha Hati za Utambulisho.
Balozi wa Tanzania nchini Mauritius mwenye makazi yake Harare, Zimbabwe akisaini kitabu cha wageni kwenye Ikulu ya Port Louis.
Balozi wa Tanzania nchini Mauritius mwenye makazi yake Harare, Zimbabwe, Mhe. Prof. Emmanuel Mbennah akiwasilisha Hati za Utambulisho kwa Rais wa Mauritius, Mhe. Prithvirajsing Roopun kwenye Ikulu ya Port Louis.
Balozi wa Tanzania nchini Mauritius mwenye makazi yake Harare, Zimbabwe, Mhe. Prof. Emmanuel Mbennah akiwa katika mazungumzo na Rais wa Mauritius, Mhe. Prithvirajsing Roopun kwenye Ikulu ya Port Louis. Wawili hao walijadili masuala ya ushirikiano baina ya Tanzania na Mauritius hususan katika sekta ya uwekezaji na biashara.
Tags
# KIMATAIFA
Share This
About Hassani Makero
Hassani Makero is a Wor'Out Media Country Manager located at Unguja-Zanzibar, Tanzania performing all technical issues concerning of Media Broadcasting activities, Satellites, and FM and Television equipments supplier.
Aside from that, Hassani Makero is also a Writer, Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 10 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs.
Aside from all above he own and operate his Blog known as Wor’Out Media since 2014.
Newer Article
Wananchi Wakimbilia Huduma Za NHIF Katika Maonesho Ya Wiki Ya Huduma Za Kifedha, Jijini Dar
Older Article
ELIMU YA HUDUMA YA FEDHA YAWAFUNGUA MACHO WANANCHI
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ashiriki Mkutano wa Kamati ya Wakuu wa Nchi na Serikali wa Afrika kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi
Hassani MakeroFeb 16, 2025RAIS SAMIA AFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS WA MSUMBIJI
Hassani MakeroFeb 15, 2025A Tanzania doctor receives International Award
kilole mzeeJan 15, 2025
Labels:
KIMATAIFA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment