ELIMU YA HUDUMA YA FEDHA YAWAFUNGUA MACHO WANANCHI - Wor'Out Media

Wor'Out Media is a premier site for selected informative articles from Tanzania, East Africa and the rest of the world. We operate 24 hours a day, 365 days a year with complete context, perspective and precision.

Tuesday, November 9, 2021

demo-image

ELIMU YA HUDUMA YA FEDHA YAWAFUNGUA MACHO WANANCHI

.com/img/a/
Kamishna Msaidizi wa Idara ya Ubia kati ya Sekta Binafsi na Umma (PPP), Bw. Bashiru Taratibu, akielezea miradi ya PPP ikiwa ni fursa ya uwekezaji inayotolewa na Serikali kwa Sekta Binafsi kwa Mkazi wa Dar es Salaam, Bw. Clementi Kaaya, alipotembelea Banda la Wizara ya Fedha na Mipango, katika Maadhimisho ya Wiki ya Huduma za Fedha Kitaifa yanayoendelea Viwanja vya Mnazi Mmoja, jijini Dar es Salaam.
.com/img/a/
Mtaalam wa masuala ya Huduma Ndogo za Fedha kutoka Wizara ya Fedha na Mipango, Bw. Joseph Msumule, akitoa elimu kwa Mkazi wa Dar es Salaam, Mzee Juma Mohamed kuhusu umuhimu wa Huduma za Fedha katika ustawi wa jamii, alipotembelea Banda la Wizara ya Fedha na Mipango, katika Maadhimisho ya Wiki ya Huduma za Fedha Kitaifa yanayoendelea Viwanja vya Mnazi Mmoja, jijini Dar es Salaam.
.com/img/a/
Afisa Mwandamizi wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Bi. Crispina Nkya, akitoa elimu ya fedha kwa mkazi wa Dar es Salaam, aliyetembelea Banda la Benki hiyo, katika viwanja vya Mnazi Mmoja, jijini Dar es Salaam.
.com/img/a/
Msimamizi wa Fedha kutoka Wizara ya Fedha na Mipango. Bi. Mwanaidi Araba (kulia), akitoa elimu ya Ubia kati ya Sekta Binafsi na Umma (PPP), kwa wakazi wa Dar es Salaam, wakati wa Maadhimisho ya Wiki ya Huduma za Fedha Kitaifa yanayoendelea Viwanja vya Mnazi Mmoja, jijini Dar es Salaam.
.com/img/a/
Elimu kuhusu Huduma za Fedha ikitolewa kwa wananchi katika Banda la Benki Kuu ya Tanzania, wakati wa Maadhimisho ya Wiki ya Huduma za Fedha Kitaifa yanayoendelea Viwanja vya Mnazi Mmoja, jijini Dar es Salaam.
.com/img/a/
Elimu kuhusu Huduma za Fedha ikitolewa kwa wananchi katika Banda la Wizara ya Fedha na Mipango, wakati wa Maadhimisho ya Wiki ya Huduma za Fedha Kitaifa yanayoendelea Viwanja vya Mnazi Mmoja, jijini Dar es Salaam.
.com/img/a/
Mtaalamu wa masuala ya Huduma Ndogo ya Fedha kutoka Wizara ya Fedha na Mipango, Bw. Renatus Lucas, akitoa elimu ya huduma hiyo kwa wananchi waliotembelea Banda la Wizara ya Fedha na Mipango wakati wa Maadhimisho ya Wiki ya Huduma za Fedha Kitaifa Viwanja vya Mnazi Mmoja, jijini Dar es Salaam.
.com/img/a/
Mtaalamu wa Masuala ya Mifumo ya Fedha wa Wizara ya Fedha na Mipango, Bw. Emmanuel Maendaenda, akielezea namna mifumo ya kielektroniki ya malipo ya Serikali inavyofanya kazi, wakati wa Maadhimisho ya Wiki ya Huduma za Fedha Kitaifa yanayoendelea Viwanja vya Mnazi Mmoja, jijini Dar es Salaam. (Picha na Peter Haule, WFM, Dar es Salaam)

No comments:

Post a Comment

Sharing Buttons

Pages

Contact Form

Name

Email *

Message *