MAJALIWA AZUNGUMZA NA MKUU WA MAJESHI WA JORDAN - Wor'Out Media

Wor'Out Media is a premier site for selected informative articles from Tanzania, East Africa and the rest of the world. We operate 24 hours a day, 365 days a year with complete context, perspective and precision.

Breaking

Thursday, March 24, 2022

MAJALIWA AZUNGUMZA NA MKUU WA MAJESHI WA JORDAN

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Jenerali Yousef Alhunaity ambaye ni Mkuu wa Majeshi wa Jordan (The Chairman Chiefs of Staff of the Hashemite Kingdom of Jordan) baada ya kushiriki katika mkutano wa kujadili usalama kwenye eneo la Kusini Mashariki mwa Afrika hususani nchini Msumbiji na maeneo jirani uliofanyika Machi 24, 2022 kwenye mji wa Aqaba nchini Jordan. Kulia ni Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki, Mbarouk Nassor Mbarouk.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Jenerali Yousef Alhunaity ambaye ni Mkuu wa Majeshi wa Jordan (The Chairman Chiefs of Staff of the Hashemite Kingdom of Jordan) baada ya kushiriki katika mkutano wa kujadili usalama kwenye eneo la Kusini Mashariki mwa Afrika hususan nchini Msumbiji na maeneo jirani uliofanyika Machi 24, 2022 kwenye mji wa Aqaba nchini Jordan. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

Sharing Buttons

Pages